Nape Nnauye: TCRA inaandaa kanuni za kubana matumizi ya mitandao ya kijamii

Kama tumeamua kuvunja katiba kwa sababu ya kumlinda mtu mmoja.

Wakati wakina Mbowe,Zitto ,Lissu wanatukanwa kwenye mitandao lakini hakuna mtu ameshawakamata watukanaji.

Lakini wanaomsema Rais wanakamatwa kila Siku.

Kichekesho ni kuwa sheria mpaka mtu aliyelalamika kutukanwa mpaka atoe taarifa ndio zifanyiwe Kazi.

Hawa wanaokamatwa kwa kumsema Rais hivi Rais anatoa malalamiko sangapi police?.

Au ndio kujipendekeza.

Kana sheria imetungwa kwa mtu mmoja tuambiwe tu ndani ya sheria hiyo.

Kiufupi tungeanza na police ndio wachochezi no 1 kubambikia watu kesi na kuua watu kimya kimya.

Tuwe Wa kweli police Tanzania ni tatizo.

shule ndogo + nguvu nyingi =nothing.
 
Back
Top Bottom