Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

kwa nini hamtaki watu wajifunze kupitia utawala wa hovyo wa magufuli. mbona historia tunafundishwa kuhusu Nduli Iddi Amin Dada,Mkoloni nk.
 
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.

Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao sehemu ambayo ipo kilomita chache toka makao makuu ya halmashauri ya Mtama.

Katika hali ambayo iliniacha na maswali ni namna Nape alivyokuwa anajibu maswali ya wananchi wake kwa kupeleka lawama kwa Hayati JPM.

Mfano alipotakiwa atolee maelezo kwanini zao la korosho msimu huu bei yake ghalani imekuwa ndogo Nape akaaminisha umma hayo ni matokeo ya mfumo mbovu uliotumika wakati uliopita wa Serikali kununua Korosho.

Sipo hapa kusadiki ama kutosadiki aliyozungumza Nape bali ni kuishangaa chuki ya wazi kwa Hayati JPM mwenyewe. Ningemwelewa Nape kama angesema haya ni matokeo mabovu ya serikali ya chama cha Mapinduzi badala ya kum'attack mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Serikali ya CCM ingali madarakani bado inao wajibu wa kueleza haya kwa wananchi wake kuliko kujificha kwenye kivuli cha hayati.

Msafiri.
Safarini Mtama.
Acheni kutetea upumbaf kwani jiwe alipokuwa anapumua alipowaambia atachapa shangazi za watu wa huko Mtama mliinua midomo kumkanya?
 
Kuendekeza visasi na visirani kwa mtu alietangulia mbele za haki, hakusaidii kituu. Kwani mtu kutolewa kwenye uwazirii ndo ukasirikeee hadi leo???
KUNASAIDIA KAMA SASA HANGAYA ANABAMBIKIA WATU KESI MNAONA SAWA TU AKIFA PIA MTASEMA AACHWE APUMZIKR ACHENI UNAFIKI KEMEENI MAMBO MABAYA
 
Ningelikuwa polepole ningeomba maandamano ya amani mwakani tarehe iliyotangazwa kifo cha Magufuli jumapili yake nchi nzima halafu waone mziki wake huyo mtu alikuwa anapendwa vipi.

Na wengine wakitaka waombe maandamano ya amani ya kumuunga mkono mama Samia, sijui kumshukuru JK kwa uongozi wake wa awali, Mkapa, Nyerere, Jaji Warioba and so forth na watu wanaedhani anastahili maandamano ya amani.

Magufuli jembe kinachoendelea ni kujitekenya na kucheka wenyewe awawezi zima mafanikio ya Magufuli ndani ya miaka 20 ijayo labda aje mwingine kabla.

Mama mwenyewe keshawaambia vile viatu ni vikubwa kwake. Busara nikuwaelewesha wananchi mama anashabaha gani ila kumfananisha na Magufuli ni ‘mbingu na ardhi’.
Kwakuua na kudhulumu watu kweli alikuwa jembe
 
Cha kumshauri tu dogo nape akae kimya, anavyopambana na marehemu ndo anvyozidi kujichimbia kaburi ft 12 chini.
 
Mtoa hoja ngoja tuwe sober hapa,wewe inafikiria mh. Nape hakua mkweli alipotamka kuwa bei ya korosho imeshuka kutokana na serikali ya President Magufuri kutokusema ukweli na kuwa na mwelekeo wa bei ya korosho?its not a rocket science bei ya korosho iliathirika mno na awamu ya tano ya kuingiza siasa mno kwenye jambo hili
Kwa hiyo kipindi cha magufuli bei ilishuka mpaka ngapi na sasa imeshindwa kupanda?
Je mnafikili wakulima wanahitaji bei ndogo ya mazao yao?

Wapeni.majibu nini kinatakiwa ili wauze kwa faida na sio kusingizia awamu iliyopita.

Najua hata kabla ya awamu ya tano bado wakulima wamekua wakilalamika kuhusu mazao yao na sio korosho tu hata kwenye pamba pia,

Nape awape majibu bei itapanda au la na nini shida?
 
Mtoa hoja ngoja tuwe sober hapa,wewe inafikiria mh. Nape hakua mkweli alipotamka kuwa bei ya korosho imeshuka kutokana na serikali ya President Magufuri kutokusema ukweli na kuwa na mwelekeo wa bei ya korosho?its not a rocket science bei ya korosho iliathirika mno na awamu ya tano ya kuingiza siasa mno kwenye jambo hili
Sasa awamu ya tano si imepita na sasa tupo awamu ya sita, wanashindwa nini kurekebisha huo mfumo ili hiyo bei ipande au jamaa anatawala mpaka akiwa kaburini. Yaani sasa hivi kila uharibifu unaofanywa kisingizio ni awamu ya 5. Tuacheni chuki na tukubali tunaposhindwa tusitafute mchawi.
 
Wajuzi wa mambo wanasema kwamba:-

Ukiwa hodari wa kuvamia na kuvimeza vya wenzako vilivyo vitamu basi hata vile vilivyo vichungu huna budi kuvimeza!!

Na lau kama uchungu ukikuzidia na hivyo kulazimika kuvitema, basi usiviteme kwa chuki na hasira!!

Wakati bei ya korosho ipo juu, mkatuambia "ni kwa sababu ya Magufuli..."

Bei iliposhuka, hamkutaka tena kumhusisha Magufuli bali hivi sasa ni soko la dunia...

Narudia, ukiwa hodari wa kuvamia na kuvimeza vya wenzako vilivyo vitamu, hata vile vichungu huna budi kuvimeza!!

Hakuna jambo baya kama kuleta siasa kwenye masuala ya kiuchumi!!!
Kwani sasa hivi magufuli ndo anaetawala??? Bei inaongelewa ya sasa, yeye anatoa sababu za utawala uliopita as if sasa hivi hakuna utawala.
 
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.

Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao sehemu ambayo ipo kilomita chache toka makao makuu ya halmashauri ya Mtama.

Katika hali ambayo iliniacha na maswali ni namna Nape alivyokuwa anajibu maswali ya wananchi wake kwa kupeleka lawama kwa Hayati JPM.

Mfano alipotakiwa atolee maelezo kwanini zao la korosho msimu huu bei yake ghalani imekuwa ndogo Nape akaaminisha umma hayo ni matokeo ya mfumo mbovu uliotumika wakati uliopita wa Serikali kununua Korosho.

Sipo hapa kusadiki ama kutosadiki aliyozungumza Nape bali ni kuishangaa chuki ya wazi kwa Hayati JPM mwenyewe. Ningemwelewa Nape kama angesema haya ni matokeo mabovu ya serikali ya chama cha Mapinduzi badala ya kum'attack mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Serikali ya CCM ingali madarakani bado inao wajibu wa kueleza haya kwa wananchi wake kuliko kujificha kwenye kivuli cha hayati.

Msafiri.
Safarini Mtama.
Lile lijamaa lilikuwa la hovyo
 
Ingawa kaongea kwa chuki lakini kaongea hoja ya ukweli.

Angeongea kwa chuki halafu hoja za uongo hapo angekua amekosea.

Vipi kama angeongea sifa njema za Magufuli ingekua anamsumbua Marehemu huko aliko?
Hapa kaongea uongo. Hakuna ukweli wowote. Korosho kipindi cha Magu haikuwahi kushuka chini ya 3000
 
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.

Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao sehemu ambayo ipo kilomita chache toka makao makuu ya halmashauri ya Mtama.

Katika hali ambayo iliniacha na maswali ni namna Nape alivyokuwa anajibu maswali ya wananchi wake kwa kupeleka lawama kwa Hayati JPM.

Mfano alipotakiwa atolee maelezo kwanini zao la korosho msimu huu bei yake ghalani imekuwa ndogo Nape akaaminisha umma hayo ni matokeo ya mfumo mbovu uliotumika wakati uliopita wa Serikali kununua Korosho.

Sipo hapa kusadiki ama kutosadiki aliyozungumza Nape bali ni kuishangaa chuki ya wazi kwa Hayati JPM mwenyewe. Ningemwelewa Nape kama angesema haya ni matokeo mabovu ya serikali ya chama cha Mapinduzi badala ya kum'attack mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Serikali ya CCM ingali madarakani bado inao wajibu wa kueleza haya kwa wananchi wake kuliko kujificha kwenye kivuli cha hayati.

Msafiri.
Safarini Mtama.
Wewe ulitaka Nape awaambie kitu gani watu wake wakati Magufuri ndiyo chanzo cha matatizo haya? Eti CCM! Sio CCM ni Magufuri kwa maamuzi yake ya ujinga. Wacha hao wahindi wafaidike sasa kwa ujinga wa maamuzi mabaya
 
Who is Nape in this country's politics?
Hakuna kipindi wakulima wa korosho walikuwa wanadekezwa kama awamu ya tano.
 
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.

Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao sehemu ambayo ipo kilomita chache toka makao makuu ya halmashauri ya Mtama.

Katika hali ambayo iliniacha na maswali ni namna Nape alivyokuwa anajibu maswali ya wananchi wake kwa kupeleka lawama kwa Hayati JPM.

Mfano alipotakiwa atolee maelezo kwanini zao la korosho msimu huu bei yake ghalani imekuwa ndogo Nape akaaminisha umma hayo ni matokeo ya mfumo mbovu uliotumika wakati uliopita wa Serikali kununua Korosho.

Sipo hapa kusadiki ama kutosadiki aliyozungumza Nape bali ni kuishangaa chuki ya wazi kwa Hayati JPM mwenyewe. Ningemwelewa Nape kama angesema haya ni matokeo mabovu ya serikali ya chama cha Mapinduzi badala ya kum'attack mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Serikali ya CCM ingali madarakani bado inao wajibu wa kueleza haya kwa wananchi wake kuliko kujificha kwenye kivuli cha hayati.

Msafiri.
Safarini Mtama.
Mkuu umesema kweli hawa watu wanataka kutufanya sisi hatujui nini tango pori na lipi tango halisi ,ni kweli hata wakijaribu kuukepa ukweli bado tatizo lipo ccm kinachotwkiwa kea kuwa kule bungeni wapo pekee yao hakuna mpizani anayewaeumbua , hivyo waoneshe uzalendo wao tuwaone
 
Back
Top Bottom