Nape Nnauye: Sakata la Roma ni picha la Kichina

kama anaona kila kitu ni kutengeneza tume,baai atengeneze tena tume maana alishawai kutengeneza wiki chache zilizopita. "sio kila furushi ukutanalo barabarani ni hela mafurushi mengine mavi."
 
Wakati mnakunywa ulanzi mwenzenu yuko porini anapigania bao la mkono mbona mlikuwa hamsemi? Kenge nyie
 
Kweli saizi watanzania wameendelea kifikra. Yani serikali ikifanya ujinga wowote ule watu lazima wajue tena haraka sana.
Sijui kama serikali imeshtukia hili suala. Wanafikir watanzania wa 1967 ni wa 2017. kwa sasa watanzania wako makin na kinachoendelea .....
 
hahahahahahaha nape nini? uwaziri sio mali yako wala baba yako....tulia.....!!!! umetukana sana watu wewe.........#$%&@$%&#
 
Magu, Magu, unamchukulia poa Nape?? Of all people, Nape! Utajibeba shauri zako.
 
nape is back into his sense. baba ubaya na bashite wamemshughulikia ipasavyo hadi amepata akili ipasavyo
 
Hii studio ya Movie aliianzisha Chagonja wakati anataka awe IGP akatengeneza movie ya magaidi feki
 
"Namshauri mwenyekiti Wa chama changu, ili aitenganishe CCM na matendo ya wahuni wachache wanaotumia dhamana waliyopewa kuumiza watu na kupoteza watu, lazima tume iundwe" by Nape Nauuye

Kwa sentensi hiyo tena kutoka kwa Nape ni ukweli usiopingika kuwa watekaji wanatoka chama chetu na hata Mimi naungana na nappe kumuomba Mwenyekiti wetu aunde tume


Tutaishi kwa Amani zaidi kama wana CCM tutakuwa wakweli kwa manufaa ya nchi yetu nimewapenda!
 
Back
Top Bottom