Nape Nnauye: Sakata la Roma ni picha la Kichina

Roma kutekwa kama ni picha ya kichana....basi tunakoelekea kubaya.... na sitaki kuamini hivyo...
 
Roma kutekwa kama ni picha ya kichana....basi tunakoelekea kubaya.... na sitaki kuamini hivyo...
Ile style ya utekaji M.O (Modus Operandi) ni ya Cdm kabisa...haina ubishi..refer kwenye case za Yericko, pamoja na Ben unganisha na matukio ya A. Kibada na video aliyerekodiwa Lwakatare ( by thn mkurugenzi wa security cdm)
 
Watekaji wamewaambia wasiseme kitu mpaka jumatatu.*****.wamejua kucheza na akili zetu hawaaa.
 
Kweli nimeamini yule jamaa ni genius. Wandishi wa habari waligoma kuandika au kuripoti habari zake. Lakini wamejikuta wakiandika habari zake bila hata kulazimishwa. Kisa kutekwa fake kwa mkatoriki
 
Roma kutekwa kama ni picha ya kichana....basi tunakoelekea kubaya.... na sitaki kuamini hivyo...
Who is loma kuna watu wanakufa kwa ajili ya nchi hii, Na wapo walemavu waliopata ulemavu kwa kupiginia nchi hii iwe hivi ilivyo Na bado Serikari haina Chakuwalipa nao wamekaa kimya wanasema walipigania nchi ndio walio ifanya nchi iwe hapa ilipo bila ya WAO nchi hii ingekuwa mikononi mwa idi amin Dada maana alijitangazia kuchukua maeneo mengi ya Tanzania hata Dsm . Sasa jamani Roma ninani Na amelifanyia nini Taifa hili zaidi ya hawa wazalendo hadi aiweke nchi imjadili ebu tutumie mitandao kwa manufaa Na faida yetu Na nchi tunaitumia vibaya sana ningekuwa Na nguvu ningeipigania kuwashwa siku za wikiend Na sio siku za KAZI ili siku za KAZI watu wafanye KAZI .Dunia inapambana Na MADAWA ya kulevya maana yamearibu sana vijana ambao ndio nguvu KAZI ya Taifa Sasa baada kuona vita ni kubwa Wameingia kwa njia hii ya Mitandao kuharibu vijana.Naomba Serikari ijaribu kulichukua hili wazolangu jamani ataleo nenda kaone Simu ya Dangote tiwai kuionaSikumoja ameishika ni Simu ya kawaida kwa ajiri mawasiliano tu haina haya mambo ya mitandao Na matajiri wengi nimejaribu kuona Simu zao nohizohizo niliojaribu kuwauliza mbona wanatumia hizo walinijibu zinakaa Na charge wiki nzima.Tuamke jamani tunapotoshwa
 
HAYA MAMBO YANAVYOKWENDA BANA
ILIKUWA HIVI.......

1.SIKU YA JUMATANO IMERIPOTIWA ROMA AMEPOTEA .

2.SIKU YA ALHAMISI WASANII WANAFANYA PRESS CONFERENCE NA KUTOA TAMKO .

3.SIKU YA IJUMAA TUNAAMBIWA ROMA ATAPATIKANA KABLA YA JUMAPILI NA MKUU WA MKOA

4.SIKU YA JUMAMOSI ROMA ANAPATIKANA KABLA YA JUMAPILI.

5.SIKU HIYO HIYO YA JUMAMOSI DIAMOND ANATOA WIMBO KUHUSU GWAJIMA.

6.SIKU HIYO HIYO YA JUMAMOSI DIAMOND ANAOMBA MSAMAHAA.

7.SIKU YA JUMAPILI GWAJIMA ANATEMA CHECHE KANISANI KUHUSU UTEKAJI.

8.SIKU YA JUMATATU ROMA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI .

MHH HAYA MAMBO UKIYAFATISHA UNAWEZA UKAJIKUTA UNASHIDWA KUFANYA MAMBO YAKO
 
Kuna watu wameshika remote... Hapo bado mange kimambi haja ropoka mambo yake nayeye
 
Movie ya kijinga sana Ruge na group yake wanatufanya wajinga sana
 
Roma nakuheshimu sana ole wako kesho utumie sera cha chama tawala, nitakuondoa kwenye orodha ya watu ninao heshimu
 
Back
Top Bottom