Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,481
- 3,991
Ndo maana ameamua kumuibua maa a kapotea sana mbele ya magu hakuna sakufurukuta mifumo yake yote iko vzr ni kama msumenoHuyo nape keshakuwa nyoka wa bujora hana sumu na ccm ni zaidi ya Nape
Ndo maana ameamua kumuibua maa a kapotea sana mbele ya magu hakuna sakufurukuta mifumo yake yote iko vzr ni kama msumenoHuyo nape keshakuwa nyoka wa bujora hana sumu na ccm ni zaidi ya Nape
Kuna watu walimuona Jpm kama jamaa fulani hivi a siyejua kituNdo maana ameamua kumuibua maa a kapotea sana mbele ya magu hakuna sakufurukuta mifumo yake yote iko vzr ni kama msumeno
Kumbe bado unanuka maziwa uliyonyonya.Wewe utakuwa mchawi sana. Nape ni mwana CCM na anampenda na kuipenda CCM. Anampenda sana mwenyekiti wake. Usitake kucmhonganisha na wana CCM.
Wakuu heshima kwenu.
Naomba nilete huu Uzi Na iwe kumbukumbu wakati Wa uchaguzi ujao.
Nape Moses atakuwa center ya mashambulizi muhimu sana dhidi ya chama tawala na serikali ya JPM.
Kwa Sasa Nape anaonekana kukaa ndani ya CCM kama reject , yaan regime haimtaki Na pia haiwezi kumfukuza, wengi wanamtazama Membe kama tishio lakin Nape ndiye tishio Kwa serikal katika uchaguzi far Kwa asilimia nyingi kuliko Membe.
Nasema haya iwe alarm Kwa serikal Na imake peace na Nape Kwa sababu naiona hatari hapo mbele.
Kwanza napaswa nikili kuwa Nape ni Moja ya watu wachache sana dunian wenye kipawa cha kipekee,nape unaweza kumpa ice cream ainadi kwenye winter na ikanunuliwa kuliko heaters.
Nape unaweza kumpa Mbatia kama mgombea uraisi akamnadi na Mbatia akawa Rais.
Najua chama tawala kinapenda kishinde kihalali pasipo kushindwa au kupata taabu kama mwaka 2015.
Nape Moses ana karisma ya kuvutia watu anapoongea, mpaka Sasa watu wanawaza Nape yupo upande upi ?
Uhakika nilio nao Nape hayuko upande Wa JPM Na hayuko upande Wa wapinzan Hawa tuwajuao.
Naiona CCM kama ANC kipindi cha jacobo Zuma na Mbeki ,Kwa psychologia ndogo na ya wazi kabisa hakuna anayetaka ahamie upinzan muda huu maana serikal itapata muda Wa kumdhoofisha, wengi wanasubir ambush attack hasa during near by election day.
Na ndio maana serikal Na chama tawala Kwa kustukia mbinu hio inaleta mswaada wenye lengo la kumtaka mgombea awe amekaa kwenye chama alichohamia walau mwaka mmoja ,hahahahaahaaa Sasa hapa target ni wale wahamiaji Toka CCM kwenda UPINZANI.
Lakin trust me Nape has outsmarted CCM na JPM Kwa miles nyingi sana, amewafanya wadeal na Membe na anatumia camophology hio kujiandaa vizuri.
CCM watapata suprise shock kubwa mno kama hawatashtukia utaalamu Wa Nape na kuendelea kumuona kama under dog.
Kwa kumalizia tu nikuhabarisheni Nape ni mtaalamu sana Wa kinachoitwa character assassination, Nape ndie mwanzilishi Wa msemo Wa oil chafu,etc
Watu wenye namna ya Nape ni kama Trump ambaye ni mzuri sana kwenye character assassination ,
Nape amejichokea. Hana sifa hizo anazopewa. Amebebwa na jina la mzazi na kujuana kwa kina wao.Aliekuambia nchi inakabidhiwa kwa vikaratasi nani.?
Uwezo huo angekua nao ,Membe angekua Rais basi ,tena kipindi kile Alikua MNEC na MCCNape unaweza kumpa Mbatia kama mgombea uraisi akamnadi na Mbatia akawa Rais.
Umesema vyema ...kongole mkuuSijui tunapoelekea ni wapi lakini hali ni mbaya.
Katiba yetu iliyopo haifai tena kwa wakati huu tulionao. Tukisema tunafanya uchaguzi kwa kutumia katiba hii ni kujidanganya nafsi zetu! Ni wehu uliopitiliza.
Kama hao wanaoitwa wapinzani watarudi tena kwenye uchaguzi chini ya katiba hii watakua wamepungukiwa na akili zaidi ya wale Wagalatia wa Mtume Paulo.
Na sioni dalili yoyote ya kudai marekebisho ya katiba. Ni bora tukae kimya kuliko kufanya uchaguzi chini ya katiba hii vinginevyo nchi itakua katika hali mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
umeona eeh wanachekesha kweli,kwani nape ni nani?
Duh kumbe kajoin JF jana tu ningejua nisingemjibu.New member umekuja na mbwembwe nying sana kutaka kuchafua watu
Naona kuna aliekutuma kuwa kafungue account mpya jamiiforum mahususi kwa kumchonganisha nape na wakubwa angalia kuna wenzio walianza hvohvo lakin walichemka. ..Nakuonya tena kawaambie wajipange upya waliokutuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Very well said. Tatizo ni elimu.Sijui tunapoelekea ni wapi lakini hali ni mbaya.
Katiba yetu iliyopo haifai tena kwa wakati huu tulionao. Tukisema tunafanya uchaguzi kwa kutumia katiba hii ni kujidanganya nafsi zetu! Ni wehu uliopitiliza.
Kama hao wanaoitwa wapinzani watarudi tena kwenye uchaguzi chini ya katiba hii watakua wamepungukiwa na akili zaidi ya wale Wagalatia wa Mtume Paulo.
Na sioni dalili yoyote ya kudai marekebisho ya katiba. Ni bora tukae kimya kuliko kufanya uchaguzi chini ya katiba hii vinginevyo nchi itakua katika hali mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo nimerekebishaNafikiri unamaanisha Fredrick Chiluba (Rip) aliyekuwa rais wa pili wa Zambia after Kaunda. Joachim Chisano (Rtd) ni rais wa pili wa Mozambique na sasa ni mstaafu.
hicho unachokisema nimeshakirekebisha mkuu. Ni fredy Chiluba. Lakini hiyo haiwezi kutoa ukweli wa hii coment uliyoijibu. Matatizo ya watu kama ninyi muwe ccm ama ukawa hamuishi kwenye dunia ya ukweli mnaishi kwa kuota. Hivyo upo sawa I will leave you and your opportunist politician His excellent Zitto KabweMwanawasa alivyomgeuka Chisano? Zambia na Msumbiji wapi na wapi? bottom line LEAVE NAPE ALONE
hicho unachokisema nimeshakirekebisha mkuu. Ni fredy Chiluba. Lakini hiyo haiwezi kutoa ukweli wa hii coment uliyoijibu. Matatizo ya watu kama ninyi muwe ccm ama ukawa hamuishi kwenye dunia ya ukweli mnaishi kwa kuota. Hivyo upo sawa I will leave you and your opportunist politician His excellent Zitto Kabwe
Too philosophical...!Wa ndiyo ama hapana
Ndiyo picha ya Jiwe na NEC na hapana na picha ya UKAWA