MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Itakuwa ni hivyo.ulikua na Nape Nnauye bafuni?
Itakuwa ni hivyo.ulikua na Nape Nnauye bafuni?
labda ashinde bafuni.
Wasiokuamini wataakuuliza ulete na picha za huko hapa.
Nape anashinda saa tatu kasorobo!
I've been there we endelea kuneng'eneka na ushabiki wa mtandaoni kujifariji!
labda nao wanasononekaNilisharusha uzi siku nyingi nikielezea hali ya Nape jimbo la Mtama Mods sijui kwa maslahi ya nani wakaufutilia mbali.
Huyu Nape hata mimi napenda apigwe.....apumzike siasa
Ni ukweli usiopingika kuwa Nape ana hali mbaya sana Mtama na kwa siku tatu nilizokaa Mtama Nape atashindwa kwa kishindo.
Kuna watu wanajiuliza huyu kijana mbona haonekani tena kwenye jukwaa la Magufuli, jamani ukimya wa Nape sio bure Suleiman Matthew anakaba mpaka penalt Mtama huko Nape ataangushwa kama furushi la Loba la mchele.
Mods uzi msiuunge popote kwani mimi siku mbili zilizopita nilikuwa mtama na nimejionea mwenyewe
Mdau umefika mtama?mi nilikuwepo hapo Jana tu................Nape anashinda saa tatu kasorobo!