Nape Nnauye mwasisi wa goli la mkono mwaka huu anategemea goli la mkono limbebe jimboni kwake. Madai yake ni kua hawezi kuasisi kitu halafu kikamshinda yeye mwenyewe. Anadhani kwa kofia ya chama anayoibeba basi vyombo vinavyosimamia uchaguzi vitambebaNi ukweli usiopingika kuwa Nape ana hali mbaya sana Mtama na kwa siku tatu nilizokaa Mtama Nape atashindwa kwa kishindo.
Kuna watu wanajiuliza huyu kijana mbona haonekani tena kwenye jukwaa la Magufuli, jamani ukimya wa Nape sio bure Suleiman Matthew anakaba mpaka penalt Mtama huko Nape ataangushwa kama furushi la Loba la mchele.
Hahahaha picha haziwezi justfy kile wasicho kiamini
Uso wake tu unadhibitisha hilo.
Hahahahaaaa dah nimecheka sana.