special dady
Member
- Feb 7, 2017
- 60
- 36
Angenyamaza zake tu maisha yangekwenda, angeenda kuongelea BungeniiiiiiiNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
je kibali ameomba au snaenda kufanyia jimboni kwake kumbuka sasa yeye ni mbunge tuMuheshimiwa nape Moses anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.
Mkuu, unaiishi kweli Id Name yako!!Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Vyeo vya fadhila na wengine wanataka wapewe fadhiraVery unfair huyu jamaa kalelewa na chama since wayb ack alijitoa kwenye uchaguz na kinana alidhihak na kutimiza kaz yake ya uenezi leo hii anamwagwa kisa Bashite ukistaajabu ya Jecha utayaona ya Pombe..this is Tz....
Akalazwe..Nape piga chini ubunge mkuu
Kosa ni la wale watu walioikataa ile ya warioba pale bungeni"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu". - Mwl. Nyerere 1982.
Kweli ww askari muogaNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Hii iwe fundisho kwa watu wote wenye tabia kama hizo, ni nani alitangaza kufuta Bunge Live, ni Nani alisema hata kwa Goli la Mkono na hila nyingine nyingi. Mbona hakutangaza kujiuzulu wakati wa Bunge Live ambalo lilikuwa na maslahi kwa wengi.
Shida kwanini awe Nape na sio Mwakyembe?So bunge limewashwa. Ohhh do not trust Watz wa mitandaoni. Kwao mantiki sio muhimu. Ila wako tayari kuuza akili na mioyo yao kwa mihemko tu. Leo wema akienda act wataenda na utaona wanatukana alikotoka. So kama unafanya kazi tz fanya tu. Hawa vijana wa humu waache tu. Hawana msimamo na hata hawajui wanachotaka. Hawajui nini chanzo wala hawasubiri. Hivi unadhani alivyoteuliwa Prof Kabudi hukuona kuwa atatoka waziri.
Acha aongee la moyoni mwake ...Nape kaa kimya ndugu yangu mshukuru Mungu utatumiwa majeshi usicheze na mwenye nchi