kwa taarifa nilizozipata nikuwa Nape anampango wa kukimbia CCM mda si mrefu na kuhamia chama cha NCCR-Mageuzi.
source??
Sasa na wewe unachangia kwenye thread zinazodhalilisha jukwaa?Thread zingine zinadhalilisha jukwaa hili. Mods, sioni uhalali wa thread hii kuendelea kubaki kwani ni uzushi ja uzandiki mtupu. Mnaweza kuiondoa huku mkiwasiliana na Nape kuverify kama mlivyofanya wakati wa barua ya Zitto Kabwe.
Jamani, mbona mnaanza kumgombania wakati mara zote mnampinga? Au ndo sizitaki mbichi hizi?
Dah, kweli Nape amekuwa lulu sasa mpaka vyama vyote wanatamani aende kwao. Big up sana Nape na endelea kuchapa kazi