Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri

kweli kabisa, inawezekana sina akili

ila jua kila kitu kina pande mbili

Kila kitu kina pande mbili?

Si kweli.

Kitu kama daudi bashite kina pande moja tuh

Nayo ni zero in the brain translated to zero into the paper which resulted into zero in actions

Ni shiiidaa hapa town.
 
*kwa anaehitaji t_shirt za CCM kwa bei poa anicheck inbox 0761741574*

*T_shirt hizo kwa nyuma zimeandikwa ushindi 2020 lazima*
 
Na kuvamia clouds media usiku wa manane na askari na bunduki huku akilazimisha clips zake za kicho.ko zichezwe kwenye media hiyo utadhan yeye ndie owner nayo pia ni vita dhidi ya dawa za kulevya?

Zezeta wewe.
Mimi nina akili timamu na nina mkingia kifua Paul C.Makonda.

Na sababu ni moja tu...Vita yenu ya kashfa dhidi yake imeanza baada ya vita yake dhidi ya madawa ya kulevya. Mngekuwa nyinyi ndio mlianza kumpiga vita ya vyeti then yeye akawasingizia mnauza madawa ningesimama pa1 nanyi..

Ila for now till the end nyie ni wauza na watumia madawa tu
 
Kuna member mwenzetu humu JF aliandika uzi ambao uliegemea kwenye maudhui kuwa Nape Nnauye ana matatizo ya kisaikolojia kias cha kumpelekea mheshimiwa huyo kila mara kuonekana akikumbuka mambo mbali mbali hususan yanayohusiana na juhud zake ambazo amekuwa akizifanya katika kukipigania chama,hadi kilipomuingiza Juma Poor Manager madarakan hadi kwa yeye kuchukua nafasi ya uwaziri na baadae kuondolewa kwa hila kutokana na kumshikia bango Daudi Bashite katika suala la Uvamiz wa Clouds media group hali iliyopelekea taharuki na hasira kali kwa wananchi na Tasnia ya habari kwa ujumla.

Mimi nachoweza kusema ni kwamba Nape hana tatzo la kisaikolojia...

Kwa sisi wamakonde tunaweza kusema kwamba hana Ntimanyongo..ila kitu kinachomzonga akilini mwake ni kwamba kuna kosa gan ambalo amewahi kulifanya hapo awali dhidi ya Juma Poor Manager hadi afikie hatua ya kumtafutia sababu ya hovyo kabisa ya kumwondoa kwenye position ambayo yeye ameihudumu kwa weledi wa hali ya juu sana i.e ya uwazir wa habari mpaka hatua ya mwisho kabisa katika position hiyo?

Kwanza,ameihudumu ofisi hiyo katika hali ya utiifu sana kwa upande wa serikali hii naweza kutolea mfano kwa tukio la yeye nape hadi kufikia hatua ya kutukwaza sisi wananchi kwa kusimamia ajenda ya kuzuia bunge lisioneshwe live ili mradi tuh amfurahishe Juma Poor Manager hata kama akijua kwamba mamillion ya watanzania hawamuungi mkono.

Pili alisimama kidete kwa wahanga wa sakata la daudi bashite i.e wamiliki wa vyombo vya habari na kuhakikisha anaipigania haki yao na kuhakikisha pia image ya serikali na Rais wake asie msikivu inalindwa na kuweka hali ya hewa kuwa sawia..

Lakin pamoja na juhud zake hizo bado akaonekana ni mtu asiefaa na ambae anatakiwa kuondolewa mara moja ili hali daudi bashite ambae hakuwa na haki ya kubakia hata kwa sekunde moja kwenye nafasi aliyopo amee delea kuwepo tena kwa kusifiwa na yule yule aliemtengua yeye katika nafas ambayo kiukweli amefanya kadir ya uwezo wake woote kuthibitisha kuwa hakupewa nafas ile kama ahsante bali amedeserve na ameonesha viwango vilivyostahili...

Hali hii kibinadam yeyote yule lazima ingemsumbua kama inavyomsumbua nape na kumweka katika mabano kwamba kuna nin?kuna kipi ambacho amekikosea na amefichwa kuelezwa?

Maana kwa mantiki ya kawaida kwa alichokifanya hata yeye Juma Poor Manager moyoni mwake anajua fika kuwa ni sahihi na hata daudi bashite anafaham fika kuwa kama kuzingua basi kazingua na kupitiliza.

Lakin kwa vyovyote vile iwavyo..Daudi bashite achukuliwe hatua leo au hata aachwe hatakuwa na mwisho mzuri ndan ya utawala wake alionao hiv sasa pia hatakuwa na mwisho mzuri kwa jamii anayoiongoza vile vile.

Ametengeneza taharuki kwa viongoz wengine waliobakia kuanzia kwa makamu wa rais,waziri mkuu na hata mawazir wengine mfano tumeona hata mwakyembe akifyata mkia.

Pia ametengeneza taharuki kwa wamiliki wa vyombo vya habari ambao hivi sasa wao na yeye ni kama panya na paka katika mahusiano yao ya kila siku.

Nape Nnauye kikubwa yeye afaham kwamba kipo kilichomuondoa tuh ukiachilia mbali hili la daudi bashite

Kwa kuwa hili alilifanya nape kwa daudi bashite hata Juma Poor Manager anafaham kabisa kuwa yupo sahihi.

Muda Utaeleza wenyewe...Daudi Bashite hauna mwisho mzuri.
Binafsi nimekuelewa
 
Wewe na Nape wako ndiyo mna akili za kitoto, kwa maana mnapoteza muda kwenye mambo ambayo hamna uwezo wa kuyabadilisha!

Raisi wa JMTZ ndiyo keshamfukza Nape wako kazi, sasa amueni cha kufanya tuone, tumechoka na porojo kila siku!

Tanzania ni yetu sote madaraka yanakuja yanapita kumbuka hilo na bashite hatodumu milele wakati ukufika ataondoka asilewe madaraka
 
Yeye ni haki yake kudai vyeti vyao maana ndie mwajiri wao, sasa wewe unaedai vyeti vya Makonda umekuwa mke wake ?

Kwani anamuongiza yeye au anatuongoza sisi hatuwezi kuongozwa na zero brain ndio maana kila siku anaibua vichekesho tu maigizo on fleek
 
Nape aliteuliwa kuwa Waziri bila ya kuulizwa yoyote yule na ametenguliwa Uwaziri wake pia, sasa tatizo liko wapi hapo

Nape hata huo uwaziri ilikuwa zawadi tu kwani elimu yake ya kuunga unga sio kigezo cha kumpa mtu uwaziri!!
 
Tanzania ni yetu sote madaraka yanakuja yanapita kumbuka hilo na bashite hatodumu milele wakati ukufika ataondoka asilewe madaraka

Sasa kama hilo mnalijua kelele zote za nini? Si msubiri na yeye siku yake ukifika aondoke?
 
Unamdharirisha sana aliyekuwa anatumia ID hii ya Waberoya, hakuwa bogus kama wewe zero brain kabisa.

waberoya sio nyumbu, hakuwahi kuwa nyumbu, anasimamia anachoamini

ni professional

mnamtetea Nape aliyesema alijua ataondolewa?

hata utumie kejeli,matusi n.k unanijua vzr huwa na iignore hayo

siwezi kutoa judgement bila kujua upande wa pili

wenye IQ kubwa tunawaza na kuishi hivyo!!

Makonda atabaki kuwa kijana pekee who dared to call things as they are....kuanzia kumuita lowassa, rostam na chenge mafisadi, toka kuwaponda mafisadi wa ardhi, na kuja na singo ya madawa...makonda ni mbunifu

sasa bashite alijulikana lini kuwa ni bashite? so Gwajima siku zooote yuko kimya na anamfichia siri bashite...anayejiita makonda, kisha anamsema huyu bwana background yake baada ya kutajwa kwenye sakata??

So gwajima kuna dhambi alikuwa nayo alijificha nayo na ilipoibuliwa yake kataja ya mwenzake? nani ana faida kwa taifa hili?

Nani hajui clouds wanahusika na madawa ni michezo yao ile na makonda ambaye alikuwa mtu wao? nyie inawauma nini?....siku zote mliiponda clouds kwa kutumiwa na CCM, wakacheza na huyo expert wa usalama wa Taifa...kawageuka mnapiga kelele

FYI, dealer wa madawa ya kulevya wote walikuwa rafiki yake!! kuanzia huyo Gwajima....mme

List ya mwisho makonda kamuweka Ridhwan kikwete na no ones gives Makonda credit for that!!! nchi inahitaji akina Makonda hii

ingia mtaani uone adabu!! sasa mnakaa Ngudu na ujiji ya DSM unayajuaje?
 
Upinzani ungempa support Makonda na kucheza twist ya kisiasa, dogo angewataja akina Kinana, akina nanilii...na that was perfect moment ya kuiondoa ccm madarakani, you never take opportunity, you never think in a positive political way to win majority never, pamoja na kuwasaidia muone mianya ya kisiasa ya kuiondoa CCM

never!!
 
Nape hata huo uwaziri ilikuwa zawadi tu kwani elimu yake ya kuunga unga sio kigezo cha kumpa mtu uwaziri!!
Nape degree ya kwanza amesoma India na msters yake ni ya Mzumbe, na jina lake halisi ni Nape Moses Mnauye na hajawahi kufoji cheti. Je unaelewa maana ya kuungaunga?

Lete vyeti baba Bashite bastola ya nini tena?
 
waberoya sio nyumbu, hakuwahi kuwa nyumbu, anasimamia anachoamini

ni professional

mnamtetea Nape aliyesema alijua ataondolewa?

hata utumie kejeli,matusi n.k unanijua vzr huwa na iignore hayo

siwezi kutoa judgement bila kujua upande wa pili

wenye IQ kubwa tunawaza na kuishi hivyo!!

Makonda atabaki kuwa kijana pekee who dared to call things as they are....kuanzia kumuita lowassa, rostam na chenge mafisadi, toka kuwaponda mafisadi wa ardhi, na kuja na singo ya madawa...makonda ni mbunifu

sasa bashite alijulikana lini kuwa ni bashite? so Gwajima siku zooote yuko kimya na anamfichia siri bashite...anayejiita makonda, kisha anamsema huyu bwana background yake baada ya kutajwa kwenye sakata??

So gwajima kuna dhambi alikuwa nayo alijificha nayo na ilipoibuliwa yake kataja ya mwenzake? nani ana faida kwa taifa hili?

Nani hajui clouds wanahusika na madawa ni michezo yao ile na makonda ambaye alikuwa mtu wao? nyie inawauma nini?....siku zote mliiponda clouds kwa kutumiwa na CCM, wakacheza na huyo expert wa usalama wa Taifa...kawageuka mnapiga kelele

FYI, dealer wa madawa ya kulevya wote walikuwa rafiki yake!! kuanzia huyo Gwajima....mme

List ya mwisho makonda kamuweka Ridhwan kikwete na no ones gives Makonda credit for that!!! nchi inahitaji akina Makonda hii

ingia mtaani uone adabu!! sasa mnakaa Ngudu na ujiji ya DSM unayajuaje?
Kweli hii ni IQ kubwa maajabu kamwe hayataisha huku dunia, wewe ni mtu mjinga na mpuuzi kabisa.

Mbona haya hujamshauri rafiki yako Ayatollah Zitto?

Au kufanya Alliance na ccm ndio mtaing'owa madarakani wewe na ACT yako?

Wewe ni mtu mpuuzi kabisa kuwahi kutokea hapa JF.

Kuanzia sasa nitakuwa makini sana na marafiki wa Zitto Kabwe maana nikiwachunguza vizuri karibu wote hakuna aliyesalimika ubongo.
 
Upinzani ungempa support Makonda na kucheza twist ya kisiasa, dogo angewataja akina Kinana, akina nanilii...na that was perfect moment ya kuiondoa ccm madarakani, you never take opportunity, you never think in a positive political way to win majority never, pamoja na kuwasaidia muone mianya ya kisiasa ya kuiondoa CCM

never!!
Uchizi si lazima uanze kuokota makopo, yupo mwenzako humu anaitwa Deo Kisandu ninyi wawili mnatakiwa kuangalia afya za akili zenu mapema sana before too late.

Inaonesha na wewe umefall in love na mtako homa ya jiji.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom