Nape Nnauye: Gari lililotumika kumshambulia Lissu limewahi kuripotiwa kuwa linawafuatilia baadhi ya wabunge

KIHAVA-maelezo yako kinyume chake ndiyo sahihi-
watu wasiopenda kazi anayofanya JPM wameamua kuumiza mtu ambaye anapingana waziwazi ya JPM na kuhamisha ATTENTION kutoka ripoti ya almas na Tanzanite na kuelekeza kwa LISSU. Tazama kila media outlet leo ni LISSU tu. TAFAKARI
 
Ukitoa ripoti ya kuwindwa hawakusikilizi ila majanga yakikukuta wanajifanya wanafatilia
 
Giza likizidi sana nuru ipo jirani! Watafahamika tu kwa uwezo uleule uliomwokoa! Msisahau hakuna siri chini ya mbingu na damu ya asiye na hatia humlilia aliyeimwaga daima na kumwandama yeye na uzao wake daima. Tubuni ili mpate kusamehewa!
Kwani wa Dr Steven Ulimboka aliishia wapi vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye haki wangu ataishi jamani hakuna mwenye haki mungu amemuacha akaangamia,getwel lisu we pray for ur recovery ,wewe ni jiwe hutakufa bali utawashangazaa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Sizo akitoka pale nitakuwa wa kwanza kumfuata Bashite.......na kumshitaki jinai ya vyeti akipelekwa Keko nami Naenda tukaishi sote huko nasikia ni mtamu sanaaa......!!! Anayumbisha nchi kwa utamu wake
 
Reactions: SDG
huyu naye amekuwa mjombake lisu mara hii?

amechoka tu; asitafute sababu; au angebakia uwaziri bado ujomba ungeendelea kuwepo?

kumbe watu huwa wanahama vyama kwa sababu za ujomba na sio kuvutwa kuwatumikia wananchi.

Ajabu ya hii nchi ni siasa zake.
 
Nasikia Nape huyu naye ni wa mwakareli huko Tukuyu kwa akina Mwandosya wanadai kule aliko kwa akina nani huko eti kasakiziwa. Jamani wanyakyusa semeni vizuri kweli huyu mtoto ni wa kukhaja?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimsikia IGP Sirro akidai kuwa Tundu Lissu hakuwahi kuripoti juu ya suala la yeye kufuatiliwa na Watu asiowafahamu, hivyo hawakuweza kuyafanyia kazi maneno yake.

Bahati Nzuri Nappe Naye amefunguka kuwa Gari hilohilo lililoripotiwa na Tundu Lissu ndio hilohilo lilikuwa linamfuatilia na yeye, na Aliliripoti Polisi.

Sasa kama aliliripoti tokea Mwezi machi, vipi uchunguzi umefikia wapi? Hiyo Gari haijaweza kujulikana ni ya nani na kwa nini inafuatilia watu? Akina nani wanabebwa ndani hya hiyo Gari?

Kama haijaweza kujulikana basi intelejensia ya wanausalama wetu itakuwa na walakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…