Nape Nnauye: Gari lililotumika kumshambulia Lissu limewahi kuripotiwa kuwa linawafuatilia baadhi ya wabunge

Nafikiri hili lilipangwa. Kwamba lifanyike wakati mzee anapokea na kuhutubia kuhusu wizi wa Almas na Tanzanite ili vyombo vya habari na watu waelekeze akili na fahamu zao kwa anachofanya mzee kwa watuhumiwa wa wezi wa madini hayo na siyo kwa alichofanyiwa TL. Bahati mbaya mpango wao umebuma, maana vyombo vya habari na watu walielekeza akili na fahamu zao kwa alichofanyiwa huyu TL na hawakuwa na muda tena, nikiwemo mimi, wakuangalia 'maigizo' yao. Kilichotuudhi wengi ni ile pole yake ya kinafiki. Halafu chama chake na Hamphrey wake walikuwa wameshaandaa hata barua ya Tamko mapema tangu mwezi uliopita, Mungu kawaumbua. Wakati Hamphrey anatutaarifu kuwa yupo Namibia ghafla anaonekana anasaini barua Lumumba.
KIHAVA-maelezo yako kinyume chake ndiyo sahihi-
watu wasiopenda kazi anayofanya JPM wameamua kuumiza mtu ambaye anapingana waziwazi ya JPM na kuhamisha ATTENTION kutoka ripoti ya almas na Tanzanite na kuelekeza kwa LISSU. Tazama kila media outlet leo ni LISSU tu. TAFAKARI
 
Ukitoa ripoti ya kuwindwa hawakusikilizi ila majanga yakikukuta wanajifanya wanafatilia
 
Mwenye haki wangu ataishi jamani hakuna mwenye haki mungu amemuacha akaangamia,getwel lisu we pray for ur recovery ,wewe ni jiwe hutakufa bali utawashangazaa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Sizo akitoka pale nitakuwa wa kwanza kumfuata Bashite.......na kumshitaki jinai ya vyeti akipelekwa Keko nami Naenda tukaishi sote huko nasikia ni mtamu sanaaa......!!! Anayumbisha nchi kwa utamu wake
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Watanzania bhana...
Kila mtu kwa sasa ni rafiki wa Tundu Lissu!
_20170908_211442.JPG


May Allah bless Me and You
 
huyu naye amekuwa mjombake lisu mara hii?

amechoka tu; asitafute sababu; au angebakia uwaziri bado ujomba ungeendelea kuwepo?

kumbe watu huwa wanahama vyama kwa sababu za ujomba na sio kuvutwa kuwatumikia wananchi.

Ajabu ya hii nchi ni siasa zake.
 
Nasikia Nape huyu naye ni wa mwakareli huko Tukuyu kwa akina Mwandosya wanadai kule aliko kwa akina nani huko eti kasakiziwa. Jamani wanyakyusa semeni vizuri kweli huyu mtoto ni wa kukhaja?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimsikia IGP Sirro akidai kuwa Tundu Lissu hakuwahi kuripoti juu ya suala la yeye kufuatiliwa na Watu asiowafahamu, hivyo hawakuweza kuyafanyia kazi maneno yake.

Bahati Nzuri Nappe Naye amefunguka kuwa Gari hilohilo lililoripotiwa na Tundu Lissu ndio hilohilo lilikuwa linamfuatilia na yeye, na Aliliripoti Polisi.

Sasa kama aliliripoti tokea Mwezi machi, vipi uchunguzi umefikia wapi? Hiyo Gari haijaweza kujulikana ni ya nani na kwa nini inafuatilia watu? Akina nani wanabebwa ndani hya hiyo Gari?

Kama haijaweza kujulikana basi intelejensia ya wanausalama wetu itakuwa na walakini
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom