Nape Nnauye: An exemplary leader!

Nape Nnauye: An exemplary leader!

"Sisi ndio watawara,mavyeo yapo mengi"..... bas Bashite Makondakta awe mnyapara segerea ili wadau wasigonge kama ile kitu ya arusha maana hicho ndio cheo anacho stahili GPA yake inaruhusu...
 
Congrats Nape Moses Nnauye.....Wewe ni mtu makini

Haijalishi uko CCM...Lakini ni mtu makini..kosa lako ni kukubali kutudanganya kuhusu bunge live
Alishasema juma maharagwe kuwa ni yeye ndie alizuia bunge live
 
Kale kapicha ka kukufungana kamba za viatu nakapataje,maana Leo nimesoma prince WA awamu iliyopita amesema anamjua vizuri jamaa ila alichomfanyia anamuachia Mungu...imekaaje hii
 
Bunge live tayari jamaa ashamjibia kua yeye alitumwa tuu ila amri ilitoka juu
Aagh vyovyote tu...ila kipindi kile sitaki hata kukumbuka! Hawa kijani sio wa kuwaamini sana
 
2.jpg

Nimeheshimu sana msimamo wa Nape Nnauye, kijana mdogo(kwangu) ambaye amesimamia si tu kauli yake bali hata kwa vitendo kuonyesha udhaifu uliotokea katika eneo lake na kuchukua hatua stahiki kulielezea, kuchunguza na hatimaye kama aivyosema , kukabidhi kwenye mamlaka husika.

Mtu kuwa mkweli, ni mpenzi wa Mungu.

Unafiki, woga wa kutumbuliwa hausaidii sana mbele ya ukweli.

Nape ameonyesha jinsi ambavyo amekuwa consistent katika suala zima linalo mkabili Makonda.

Kama tungekuwa na viongozi kama Nape, kutokubali kuwa waoga hata pale wanaofanya madudu katika maeneo yao ya utawala ni wakubwa, tungekuwa mbali kiuwajibikaji.

Vyeti feki vina eneo lake, wenye eneo hilo wako kimya kama maji ya mtungi, wanajitukanisha kwa kweli.

Hata leo, Nape aidha akiondolewa au kujiuzulu, mfano chanya utakuwa umewekwa katika uongozi wa Taifa.

Watu kama hawa huja kwa nadra.

Big up Nape Nnauye, mwana wa Moses.
Kwa sasa namkubali huyu Mheshimiwa sana. Najua akina Liz hawapendi, lakini ukweli uko wazi, Mh Nape katutendea haki vijana wenzake, uthubutu wa kusimamia ukweli kwa kufuata misingi na taratibu tulizojiwekea kama Taifa. Big up Mh Nape.
 
Duuuh kwel jamaa mmoja alisema makonda ikitaka usafishwe wafuate ukawa siku moja tu we shujaaa,,, nimeamini kutoka uvuvuzela mpka shujaaaa
 
Kwa haya yaliyotokea tungeshaona waraka wa msemaji wa Ikulu. Zile nyaraka za utumbuaji lakini mh!
 
2.jpg

Nimeheshimu sana msimamo wa Nape Nnauye, kijana mdogo(kwangu) ambaye amesimamia si tu kauli yake bali hata kwa vitendo kuonyesha udhaifu uliotokea katika eneo lake na kuchukua hatua stahiki kulielezea, kuchunguza na hatimaye kama aivyosema , kukabidhi kwenye mamlaka husika.

Mtu kuwa mkweli, ni mpenzi wa Mungu.

Unafiki, woga wa kutumbuliwa hausaidii sana mbele ya ukweli.

Nape ameonyesha jinsi ambavyo amekuwa consistent katika suala zima linalo mkabili Makonda.

Kama tungekuwa na viongozi kama Nape, kutokubali kuwa waoga hata pale wanaofanya madudu katika maeneo yao ya utawala ni wakubwa, tungekuwa mbali kiuwajibikaji.

Vyeti feki vina eneo lake, wenye eneo hilo wako kimya kama maji ya mtungi, wanajitukanisha kwa kweli.

Hata leo, Nape aidha akiondolewa au kujiuzulu, mfano chanya utakuwa umewekwa katika uongozi wa Taifa.

Watu kama hawa huja kwa nadra.

Big up Nape Nnauye, mwana wa Moses.

Hahaha!! Hawa ndio watz na hii ndio Tanzania.

Unafiki, uzandiki, uzabizabina, kujipendekeza na kujikwenza ndio sifa zetu.

Aliyewahi itwa Vuvuzela na Mzee wa Bao la Mkono leo kama kawaida yetu namna tulivyojizoesha, anapambwa kwa maneno mengi na kwenda mbali zaidi eti hata kama atakuwa amejiuzulu leo watz watakukumba kwa kusimamia ukweli.

Leo hii ndio anasimamia ukweli!!! kwa sabababu tu anachofanya leo kina mlengo wao.

Hakika hata Shetani anatuogopa kwa namna tulivyo wa ajabu. Kama mulimuita mzee wa Bao la mkono basi hili ni Bao la pili la Nguvu la Mkono .

Heri huishi na mchawi kuliko mnafiki. Unafiki wetu utaangamiza taifa letu.

Yeye ni waziri katimiza wajibu wake
 
2.jpg

Nimeheshimu sana msimamo wa Nape Nnauye, kijana mdogo(kwangu) ambaye amesimamia si tu kauli yake bali hata kwa vitendo kuonyesha udhaifu uliotokea katika eneo lake na kuchukua hatua stahiki kulielezea, kuchunguza na hatimaye kama aivyosema , kukabidhi kwenye mamlaka husika.

Mtu kuwa mkweli, ni mpenzi wa Mungu.

Unafiki, woga wa kutumbuliwa hausaidii sana mbele ya ukweli.

Nape ameonyesha jinsi ambavyo amekuwa consistent katika suala zima linalo mkabili Makonda.

Kama tungekuwa na viongozi kama Nape, kutokubali kuwa waoga hata pale wanaofanya madudu katika maeneo yao ya utawala ni wakubwa, tungekuwa mbali kiuwajibikaji.

Vyeti feki vina eneo lake, wenye eneo hilo wako kimya kama maji ya mtungi, wanajitukanisha kwa kweli.

Hata leo, Nape aidha akiondolewa au kujiuzulu, mfano chanya utakuwa umewekwa katika uongozi wa Taifa.

Watu kama hawa huja kwa nadra.

Big up Nape Nnauye, mwana wa Moses.
Kwa sasa namkubali huyu Mheshimiwa sana. Najua akina Liz hawapendi, lakini ukweli uko wazi, Mh Nape katutendea haki vijana wenzake, uthubutu wa kusimamia ukweli kwa kufuata misingi na taratibu tulizojiwekea kama Taifa. Big up Mh Nape.
 
Jamaa ni mkorofi.To make things even more complicated Jamaa anaweza mtumbua Nape........Ila Nape.ametumia weledi sana kwenye hili SAGA
 
Mara zote sijawah kuingia kwenye bot ya Nape lakini kwa hil bye bye bye kabisa ,ila Nina wasiwasi na ccm iliojengwa na Nape pamoja na Mzee Katibu mkuu Kinana bila hawa watu wawil ccm ingekuwa inaitwa marehemu
 
Watanzania tuachsne na hizi habari hazitusaidii kupata chakula cha watoto wetu, : ushawahi ona wapi MTU atende kosa la kupelekwa mahakamani halafu watu washauri Aombe msamaha!!! Tuachane na hii...Dah Mvua hazinyeshi vile itakiwavyo...mwakani njaa!!
 
Ivi mwigulu haya hayamuhusu,,,,ndo alitaka urais kweli?
 
Hahaha!! Hawa ndio watz na hii ndio Tanzania.

Unafiki, uzandiki, uzabizabina, kujipendekeza na kujikwenza ndio sifa zetu.

Aliyewahi itwa Vuvuzela na Mzee wa Bao la Mkono leo kama kawaida yetu namna tulivyojizoesha, anapambwa kwa maneno mengi na kwenda mbali zaidi eti hata kama atakuwa amejiuzulu leo watz watakukumba kwa kusimamia ukweli.

Leo hii ndio anasimamia ukweli!!! kwa sabababu tu anachofanya leo kina mlengo wao.

Hakika hata Shetani anatuogopa kwa namna tulivyo wa ajabu. Kama mulimuita mzee wa Bao la mkono basi hili ni Bao la pili la Nguvu la Mkono .

Heri huishi na mchawi kuliko mnafiki. Unafiki wetu utaangamiza taifa letu.

Yeye ni waziri katimiza wajibu wake
Usiwe na akili za kuku, kula pale alipomwaga kinyesi.

Sasa huyo mheshimiwa akija na kumwaga kinyesi sebuleni kwako utendelea kumsifia tu, kwa vile ni wa kwako!

Kua kiakili!
 
2.jpg

Nimeheshimu sana msimamo wa Nape Nnauye, kijana mdogo(kwangu) ambaye amesimamia si tu kauli yake bali hata kwa vitendo kuonyesha udhaifu uliotokea katika eneo lake na kuchukua hatua stahiki kulielezea, kuchunguza na hatimaye kama aivyosema , kukabidhi kwenye mamlaka husika.

Mtu kuwa mkweli, ni mpenzi wa Mungu.

Unafiki, woga wa kutumbuliwa hausaidii sana mbele ya ukweli.

Nape ameonyesha jinsi ambavyo amekuwa consistent katika suala zima linalo mkabili Makonda.

Kama tungekuwa na viongozi kama Nape, kutokubali kuwa waoga hata pale wanaofanya madudu katika maeneo yao ya utawala ni wakubwa, tungekuwa mbali kiuwajibikaji.

Vyeti feki vina eneo lake, wenye eneo hilo wako kimya kama maji ya mtungi, wanajitukanisha kwa kweli.

Hata leo, Nape aidha akiondolewa au kujiuzulu, mfano chanya utakuwa umewekwa katika uongozi wa Taifa.

Watu kama hawa huja kwa nadra.

Big up Nape Nnauye, mwana wa Moses.
Alivokuwa kuwa msemaji wa chama kile nlimuona mlopokaji lakini kwanzia leo ninaanza kumuelewa kwambaaali...
 
Back
Top Bottom