MAKONDA IS A TRAITOR, CRIMINAL AND EVIL WHO ABUSES PEOPLE AND POWER.Tatizo sasa haya aliyofanya yatamfurahisha baba yake mtoto pendwa anayependezwa naye???
Maneno ya kwenye kampeni uliyalete kwenye masuala serious yanayoweza kuyumbisha taifa, ni wajinga tu ndiyo wanaweza kuona kile alichofanya Makonda ni kitu cha kawaida.Huyu sindo alikua akiitwa vuvuzela, hahahaaaaa wabongo na akili.
MAKONDA IS A TRAITOR, CRIMINAL AND EVIL WHO ABUSES PEOPLE AND POWER.
Wapo wengi wanasema ukweli lkn wanasemea uvunguniKwa kweli Nape anastahili pongezi sana. Nadhani katika safu ya mawaziri wa awamu hii ni pekee anayethubutu kuusema ukweli ulivyo bila kuogopa lijalo mbele yake.
Ukianzia jinsi alivyotoa ushauri wa busara wa namna ya kulishughurikia suala la vita dhidi ya dawa za kulevya bila kuchafua sifa za watu, na hili la leo kwa kweli ni kiongozi pekee kwa awamu hii. Big up Nape!!!
Ukiona chadema wanakusifia lazima utakuwa umekosea sehemu-J.P.Magufuli
Hata wale waliokuwa na ujasiri wa kukosoa siku za nyuma leo wamekaa kimyaaaa kuogopa eidha kutumbuliwa au kutajwa sakata la dawa za kulevyaWapo wengi wanasema ukweli lkn wanasemea uvunguni
Maneno ya kwenye kampeni uliyalete kwenye masuala serious yanayoweza kuyumbisha taifa, ni wajinga tu ndiyo wanaweza kuona kile alichofanya Makonda ni kitu cha kawaida.
Nape Mungu yupo nawe , na wananchi wapenda haki tupo upande wako, songa mbele.
Nape amejijengea heshima kubwa kwa watanzania kwa kusimamia ukweli. Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kwa mwendo huo unafaa kuwa rais wa JMT siku za usoni. Hongera sana. Tungekuwa na Nape kumi ndani ya CCM nchi ingeenda kwa kasi sana
Angefanyaje na mkulu aliamuaCongrats Nape Moses Nnauye.....Wewe ni mtu makini
Haijalishi uko CCM...Lakini ni mtu makini..kosa lako ni kukubali kutudanganya kuhusu bunge live