Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,573
- 28,533
- Thread starter
- #101
Kama una akili za kureason, utaelewa, kama huna its too bad. Hili jopo la great thinkers usingojee kutafuniwa.Jibu hoja. Don't be on heat

Nape ni kiongozi kijana jasiri na mkweli. Hana mfano.![]()
Nimeheshimu sana msimamo wa Nape Nnauye, kijana mdogo(kwangu) ambaye amesimamia si tu kauli yake bali hata kwa vitendo kuonyesha udhaifu uliotokea katika eneo lake na kuchukua hatua stahiki kulielezea, kuchunguza na hatimaye kama aivyosema , kukabidhi kwenye mamlaka husika.
Mtu kuwa mkweli, ni mpenzi wa Mungu.
Unafiki, woga wa kutumbuliwa hausaidii sana mbele ya ukweli.
Nape ameonyesha jinsi ambavyo amekuwa consistent katika suala zima linalo mkabili Makonda.
Kama tungekuwa na viongozi kama Nape, kutokubali kuwa waoga hata pale wanaofanya madudu katika maeneo yao ya utawala ni wakubwa, tungekuwa mbali kiuwajibikaji.
Vyeti feki vina eneo lake, wenye eneo hilo wako kimya kama maji ya mtungi, wanajitukanisha kwa kweli.
Hata leo, Nape aidha akiondolewa au kujiuzulu, mfano chanya utakuwa umewekwa katika uongozi wa Taifa.
Watu kama hawa huja kwa nadra.
Big up Nape Nnauye, mwana wa Moses.
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa amefanya kazi nzuri sana ila wasiwasi wangu,![]()

MAMBO YA CHUMBANI MWANAUME ANAYATOA HADHARANI HIYO NI AKILI AU MATOPE? ALIPASWA AKAE CHINI KWANZA. KAMA NINGEKUWA MIMI WAKATI MWAJIRI WAKE NA BOSI WAKE JPM AMESEMA AACHWE MAKONDA APIGE KAZI ANGEPASWA NAPE KUACHANA NA SUALA HILO. HATA KAMA ALITAKA KUENDELEA NALO ANGELIPIGA CHINICHINI. UNAJUA KWA NINI MAKONDA ANAPENDWA SANA NA JPM NI KWA SABABU HATA KAMA KUNA TOFAUTI WANAZIMALIZA CHUMBANI.![]()
Nimeheshimu sana msimamo wa Nape Nnauye, kijana mdogo(kwangu) ambaye amesimamia si tu kauli yake bali hata kwa vitendo kuonyesha udhaifu uliotokea katika eneo lake na kuchukua hatua stahiki kulielezea, kuchunguza na hatimaye kama aivyosema , kukabidhi kwenye mamlaka husika.
Mtu kuwa mkweli, ni mpenzi wa Mungu.
Unafiki, woga wa kutumbuliwa hausaidii sana mbele ya ukweli.
Nape ameonyesha jinsi ambavyo amekuwa consistent katika suala zima linalo mkabili Makonda.
Kama tungekuwa na viongozi kama Nape, kutokubali kuwa waoga hata pale wanaofanya madudu katika maeneo yao ya utawala ni wakubwa, tungekuwa mbali kiuwajibikaji.
Vyeti feki vina eneo lake, wenye eneo hilo wako kimya kama maji ya mtungi, wanajitukanisha kwa kweli.
Hata leo, Nape aidha akiondolewa au kujiuzulu, mfano chanya utakuwa umewekwa katika uongozi wa Taifa.
Watu kama hawa huja kwa nadra.
Big up Nape Nnauye, mwana wa Moses.
Mambo ya chumbani ni upeo mdogo wa akili yako.MAMBO YA CHUMBANI MWANAUME ANAYATOA HADHARANI HIYO NI AKILI AU MATOPE? ALIPASWA AKAE CHINI KWANZA. KAMA NINGEKUWA MIMI WAKATI MWAJIRI WAKE NA BOSI WAKE JPM AMESEMA AACHWE MAKONDA APIGE KAZI ANGEPASWA NAPE KUACHANA NA SUALA HILO. HATA KAMA ALITAKA KUENDELEA NALO ANGELIPIGA CHINICHINI. UNAJUA KWA NINI MAKONDA ANAPENDWA SANA NA JPM NI KWA SABABU HATA KAMA KUNA TOFAUTI WANAZIMALIZA CHUMBANI.
KUWA KIONGOZI MZURI NI UWEZO WA KUFUNIKA MADHAIFU YA WENZAKO HUKU UKITAFUTA UFUMBUZI WA JAMBO. MOJA YA VIONGOZI WA JPM WAJINGA NI NAPE. KAMA NINGEKUWA MIE NDO JPM NINGEMTUMBUA MAPEMA, HAFAI KUWA KIONGOZI. HUYO NI MSALITI KABISA. MOJA YA MAADILI YA SIFA NJEMA ZA KIONGOZI NI UWEZO WA KUONA UDHAIFU WA WENGONE NA KUTAFUTA NJIA YA KUUFUNIKA NA HUKU UKITAFUTA NJIA YA KUPITA. POSITIVE THINKERS ALWAYS SEES THE WAY THROUGH NOT THE WAY TO BLAME OTHERS INTHE PUBLIC.
BOGUS LEADER.
Huu woga ndio unaofanya Watanzania tunaonewa kijinga.ni nadra sana kwa viongozi kutofautiana..hadharani
kibongobongo nape jiandae...yaani jipange
ww ndio fafafafa km Bashite kweliMAMBO YA CHUMBANI MWANAUME ANAYATOA HADHARANI HIYO NI AKILI AU MATOPE? ALIPASWA AKAE CHINI KWANZA. KAMA NINGEKUWA MIMI WAKATI MWAJIRI WAKE NA BOSI WAKE JPM AMESEMA AACHWE MAKONDA APIGE KAZI ANGEPASWA NAPE KUACHANA NA SUALA HILO. HATA KAMA ALITAKA KUENDELEA NALO ANGELIPIGA CHINICHINI. UNAJUA KWA NINI MAKONDA ANAPENDWA SANA NA JPM NI KWA SABABU HATA KAMA KUNA TOFAUTI WANAZIMALIZA CHUMBANI.
KUWA KIONGOZI MZURI NI UWEZO WA KUFUNIKA MADHAIFU YA WENZAKO HUKU UKITAFUTA UFUMBUZI WA JAMBO. MOJA YA VIONGOZI WA JPM WAJINGA NI NAPE. KAMA NINGEKUWA MIE NDO JPM NINGEMTUMBUA MAPEMA, HAFAI KUWA KIONGOZI. HUYO NI MSALITI KABISA. MOJA YA MAADILI YA SIFA NJEMA ZA KIONGOZI NI UWEZO WA KUONA UDHAIFU WA WENGONE NA KUTAFUTA NJIA YA KUUFUNIKA NA HUKU UKITAFUTA NJIA YA KUPITA. POSITIVE THINKERS ALWAYS SEES THE WAY THROUGH NOT THE WAY TO BLAME OTHERS INTHE PUBLIC.
BOGUS LEADER.
KWA UPEO WAKO MDOGO WA MAMBO YA UONGOZI. ULISHAONA CHAMA AU TAASISI YOYOTE UONGOZI WAKE UNAPINGANA HADHARANI NA IKASIMAMA? KWANI HAMNA VIKAO VYA KUONGELEA HAYO.? NARUDIA KUSEMA NAPE NI JIPU LILILOIVA KABISA LIKO TAYARI KWA AJILI YA KUTUMBULIWA.ww ndio fafafafa km Bashite kweli
ulitaka aliache kwa maslahi ya nan ? kuimarisha chama cha ccm? na clouds nao kilio chao angekisikiliza nan? mbona kwenye list ya madawa ya kulevye hakufanya kmyakimya na ulifueahi tuu ..katimiza majukum yake na kuyafanyia kaz malalamiko ya clouds media
Ukimpenda Makonda kanywe naye chai.KWA UPEO WAKO MDOGO WA MAMBO YA UONGOZI. ULISHAONA CHAMA AU TAASISI YOYOTE UONGOZI WAKE UNAPINGANA HADHARANI NA IKASIMAMA? KWANI HAMNA VIKAO VYA KUONGELEA HAYO.? NARUDIA KUSEMA NAPE NI JIPU LILILOIVA KABISA LIKO TAYARI KWA AJILI YA KUTUMBULIWA.
Hamna lolote huyo jamaa Nape ni ovyo sana. Tatizo la bongo system nzima haiko consistent. Kila kiongozi anatoa maamuzi yake alafu wanapingana wenyewe kwa wenyewe. A strong country needs strong institutions bila kutegemea mpaka waziri au makonda aongee ndiyo jambo kutekelezwa.![]()
Nimeheshimu sana msimamo wa Nape Nnauye, kijana mdogo(kwangu) ambaye amesimamia si tu kauli yake bali hata kwa vitendo kuonyesha udhaifu uliotokea katika eneo lake na kuchukua hatua stahiki kulielezea, kuchunguza na hatimaye kama aivyosema , kukabidhi kwenye mamlaka husika.
Mtu kuwa mkweli, ni mpenzi wa Mungu.
Unafiki, woga wa kutumbuliwa hausaidii sana mbele ya ukweli.
Nape ameonyesha jinsi ambavyo amekuwa consistent katika suala zima linalo mkabili Makonda.
Kama tungekuwa na viongozi kama Nape, kutokubali kuwa waoga hata pale wanaofanya madudu katika maeneo yao ya utawala ni wakubwa, tungekuwa mbali kiuwajibikaji.
Vyeti feki vina eneo lake, wenye eneo hilo wako kimya kama maji ya mtungi, wanajitukanisha kwa kweli.
Hata leo, Nape aidha akiondolewa au kujiuzulu, mfano chanya utakuwa umewekwa katika uongozi wa Taifa.
Watu kama hawa huja kwa nadra.
Big up Nape Nnauye, mwana wa Moses.
Mkuu mbona wachanganya mambo?Hamna lolote huyo jamaa Nape ni ovyo sana. Tatizo la bongo system nzima haiko consistent. Kila kiongozi anatoa maamuzi yake alafu wanapingana wenyewe kwa wenyewe. A strong country needs strong institutions bila kutegemea mpaka waziri au makonda aongee ndiyo jambo kutekelezwa.
Bado tuko nyuma sana wacha Magu aendelee hivyohivyo kiubabe ubabe mpaka nchi inyooke, then whoever takes over the county in the near future will have it easy to manage according to the rule of law.
At the minute, I think Magu is doing a fine job with his style of governing and that's what TZ needs. The experience of being ruled by Mkapa and Kikwete as Presidents was terrible. All of them failed to tackle corruption, tax avoidance and crime to name a few. But this great man Magu is doing a great job at his own style and I applaud him for that.
Wacha hawa wakina Nape wawepo katika ngazi zao kama toothless dogs then he will learn the hard way kama alivyowafanya watanzania wasiwe na uhuru wa habari.
Na kuipitisha ile sheria mbovu ya habariCongrats Nape Moses Nnauye.....Wewe ni mtu makini
Haijalishi uko CCM...Lakini ni mtu makini..kosa lako ni kukubali kutudanganya kuhusu bunge live
ndio..atakaribishwa...Je akijiuzulu atakaribishwa UKAWA??