Nape Nnauye: An exemplary leader!

Nape Nnauye: An exemplary leader!

Ukiona chadema wanakusifia lazima utakuwa umekosea sehemu-J.P.Magufuli

Bila shaka wewe kila amkosoaye Magufuli na "protégées" wake kama Makonda kwa chochote kile lazima awe CHADEMA. Ni dalili za kuweweseka kufikia kuona hata maadui wasioonekana na hata mtu kutaka kukimbia kivuli chake. Mara sijui tuzime mitandao ya kijamii; tufukuze wasaliti n.k. Hadi mnajikuta mmebaki wachache tena mnaoangaliana kwa shaka na tahadhari.

Nape hakuamka asubuhi moja tu na kuamua kufanya alichofanya. Kuna mawimbi yanapita chini kwa chini (undercurrents). CHADEMA hawahusiki zaidi ya kuwa watazamaji tu.
 
Nape amebakiza kazi moja....... "BUNGE LIVE"
Screenshot_2017-03-23-09-53-00.png

Hyo sio kazi yake tena.. Hapa sijui tunajifunza nn aliye fanya kosa ameaachwa aliyewajibika,muwazi ndie anaonekana mbaya.hii fisiem haijaanza leo toka enzi za richmond..
 
Aende akaandae tume za uchunguzi dhidi ya madeni wanayodai walima KOROSHO wananchi WA JIMBONO KWAKE MTAMA huko waliopigia kura jimboni kwake ndani ya masaa 24 ntamuona wa maana.
 
Narudi tena kumpongeza Nape kwa kutoa msimamo dhabiti hata baada ya kutumbuliwa.
Big up Nape una political milage.
 
Back
Top Bottom