Nape Nnauye: An exemplary leader!

Nape Nnauye: An exemplary leader!

Kikwete mjanja sana
Nalog off



True ni Mjanja sana!

Alipoamua kuvuruga Chama ili apange safu yake Vizuri Ukatibu Mkuu wa Chama alimpa Mzee Makamba na kweli Mgogoro ukatengenezwa na ukakolea

Alipoamua kutuliza Chama kijiandae kwa Uchaguzi na handover aliwarudisha Kinana, Mangula na kum join Nape Mosses Nnauye!
 
Nape sawa je Mwigulu anasemaje kuhusu wale askari wake? Kumbe wanyonge ndio hurindikiwe vyesi.
 
Aisee huyu jamaa ni tofauti kabisa na nilivyokua namchukulia...na namuomba radhi kwa kumchukia kipindi yeye ni .katibu mwenezi wa chama. I'm sure ni miongoni mwa mawaziri wachache wanaoona kwa macho yao na kuwaza kwa vichwa vyao. Nimejifunza kitu
 
Kweli mkuu, maana alichokifanya na kukiongea wakati wa hili sakata si rahisi kwa mtu wa kawaida.
 
Nape amenikumbusha enzi cdm ya slaa,sio ya sasa El ambayo inatete waharifu
 
Nakumbuka mwanzoni kipindi cha uteuzi wa mawaziri.. kuna watu walisema magufuli kateua maprof, madokta na nape mmoja... leo anasifiwa nape maprof wanapondwa... unajifunza nini?
 
Kwa hakika Nape ameonyesha kuwa anao uwezo wa kusimama kwa miguu yake na kutenda kile anachoamini ndo sahihi. Amemaliza shauri kwa nafasi yake kilichobaki Bwana Mkubwa ana hiari ya kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu.
 
Tutegemee documentary ya nape Uhuru fm akihusishwa na kuzaa na Wema
 
Hata sasa Nape amejiuza vilivyo kwa wananchi, hata ccm wamfukuze popote atapata nafasi kwani ameonyesha msimamo thabiti dhidi ya uovu
 
Nape asihamishe goli, hapendi wauza unga wabughudhiwe. Baada ya mwaka mmoja wa uongozi wa Makonda ndipo vyeti vinaulizwa hasa baada ya kugusa madawa ya kulevya.
 
Nape ni kada CCM pure, waliolelewa ndani ya chama.
Miaka ya Mwalimu kulikuwa na sera ya TUJISAHIHISHE, miaka ya 70's, na ndo sera za kujitambua unapokosa.
Ndani ya CHADEMA huwezi kupata tujisahihishe.
Ndio maana Bashite yuko CHADEMA
 
Back
Top Bottom