Nape Nnauye aibatiza jina CHADEMA

Nape Nnauye aibatiza jina CHADEMA

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,753
KATIKA PICHA ALIYOIWEKA KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK NAPE NAUYE AITA CHADEMA JINA LA CHANDIMU
NA HII NI KAMA MAELEZO YA PICHA YANAVYOSEMA
[h=6]Nape Nnauye

Waheshimiwa sana wabunge wa Chandimu suseni mpaka 2015 msirudi bungeni, hakika mtakuwa mmejipambanua pls!![/h]SIJAJUA ALIKUWA NA MAANA GANI NA BADO SIJAELEWA KWANINI AMEAMUA KUKIITA CHAMA CHETU CHANDIMU

NAWASILISHA
 
Huyu jamaa hajui kwamba yeye ndiyo anajipambanua? Ni dhahiri ameshindwa vita ya Lowasa , si ajabu yeye ndiyo akaondoka. Vita na CHADEMA huiwezi.
 
In either way; Nape has a lot to adjust in his politics after what is happening in CCM ... Maybe should construct a name which will also suite how will be facing bitter, unforgiving and uncompromising EL!! Its no JOKE!!!!
 
Dar Morden Taarab wanatafta watu, Nape nakushauri kajiunge.

You proved failure kwenye kila ugusacho
 
mwehu huyo nilimpa makavu FB akani'unfriend... By the ni janga la ktaifa huyo jamaa.
 
amejikatia jina mwenyewe. yeye ni chandimu kwa sababu anaropokaropoka hovyo. Nape Nnauye ......u
 
Ukibishana na kuchangia mawazo ya Nape Nnauye utakuwa kichaa..Huyu jamaa ni kama mtoto,uwezi ukasema maneno kama hayo mtu mwenye title ya katibu mwenezi,habari kama hizi zinapaswa kuletwa na mtu asiye na cheo kikubwa kama hiki..........
 
Kikwetu sisiem tunaiita SISINJEMU=HIZI BANGI!magamba yamemshinda anawaza kujichubua tu!
 
This guy is so immature! Anashindwa kuelewa wadhifa wake kama ranking officer katika chama chake na kuwa statements kama hizi zina implications siyo tu kwa image yake bali hata chama chake.

Kuna vitu vya kuzungumza wakati wa kampeni laikini katika normal politicking kuna specific rules of the game ambazo zinaguide malumbano. Mojawapo ni civility yaani kumheshimu yule ambaye unapambana naye.

Maneno ya vichochoroni kama haya yanaonyesha wazi system mbaya ya selection ya viongozi wa chama cha CCM. Huyu bwana hastahili kabisa hii nafasi aliyopewa. Ni chekibobu wa kijiweni asiye na adabu wala maadili!
 
Mnalalamika nini!. Acheni ujinga.
 
Huwa sipendi sana kuchangia kauli za Nape. Alituwekea matokeo ya kura za igunga hapa lakini alipoulizwa na bbc, alikataa akasema sio yeye wala hana id humu. Sitashangaa akiikataa na hiyo ya fb! Ni mpuuzi sana wala hajui analolifanya.
 
This guy is so immature! Anashindwa kuelewa wadhifa wake kama ranking officer katika chama chake na kuwa statements kama hizi zina implications siyo tu kwa image yake bali hata chama chake. Kuna vitu vya kuzungumza wakati wa kampeni laikini katika normal politicking kuna specific rules of the game ambazo zinaguide malumbano. Mojawapo ni civility yaani kumheshimu yule ambaye unapambana naye.
Maneno ya vichochoroni kama haya yanaonyesha wazi system mbaya ya selection ya viongozi wa chama cha CCM. Huyu bwana hastahili kabisa hii nafasi aliyopewa. Ni chekibobu wa kijiweni asiye na adabu wala maadili!
mkuu umenena vema ila mi nafikiri hili ni tatizo la kuwapa watoto wadogo majukumu makubwa wasiyoyaweza kiasi kwamba sasa wanapoteza radha na status ya cheo alicho pewa
 
Siku zake ndani ya ccm zinahesabika. mwache ajifariji. Aliuvamia msitu kwa kiwembe, ashautambua mziki wa Lowassa mkubwa.
 
Huyu bwana mdogo ni mjinga sana! hawezi siasa za bongo!! bichwa maji tele!!!
 
Huko CHANDIMU ndiko ataomba kukimbilia once akipigwa buti baada ya kushindwa vita kati yake na fisadiz. Mie ningemshauri sasa hivi aanze ku-focus kwenye kile alichosomea huko India. Ajira kwenye political parties sina hakika atafanikiwa.
 
mi nilikuwa nampenda sana huyu jamaa alipokuja na sera za kuvua gamba ndani ya siku tisini kumbe lilikuwa ni vuvuzera la dk 90 alipo kuja kunichafua ni pale alipo kuja mwanza na kusema atatushikisha ukuta wana mwanza sipendi hata kusikia sauti yake afai hata kidogo
 
Hayo maneno yake yamerahisha zaidi hata wale wasiomjua kuweza kum value!
Hana maana, hajitambui, hajaelimika..................................
Hata ningemchukua baba yangu wa miaka tisini kijijini kuleeeeeeeee hangeweza kuongea pumba kama hizo!
Lol amekwisha
 
mi nilikuwa nampenda sana huyu jamaa alipokuja na sera za kuvua gamba ndani ya siku tisini kumbe lilikuwa ni vuvuzera la dk 90 alipo kuja kunichafua ni pale alipo kuja mwanza na kusema atatushikisha ukuta wana mwanza sipendi hata kusikia sauti yake afai hata kidogo

eh!
hapo kwenye red alkua anamaanisha nini? cameroon!!??
Nneshtuka!
 
ah haaa haaa haaa bw mdogo kaanza taaaraba nawashauri wanachadema jibu la mjinga ni kukaa kimya
 
Dar Morden Taarab wanatafta watu, Nape nakushauri kajiunge.

You proved failure kwenye kila ugusacho
Kaka huyu chalii kajimaliza kabisa kisiasa, mana sidhani kama atakuja kuwa mtu tena wa maana hapa ndio mwisho wake.
 
Back
Top Bottom