Nape Nnauye aibatiza jina CHADEMA

Kamshindwa Lowasa sasa anaropoka tu, na bado itakula kwake, tulimuonya huyu mbwiga kuwa Lowasa ni heavy weight akamsikiliza JK sasa bango limegeuzwa yeye ndiye anavuliwa gamba kwa uropokaji wake kuwatuhumu watu ufisadi bila ushahidi wowowte.
 
ccm wanamfukuza..kwa kilekilichozungumzwa jana akipona ana bahati aisee
 
Hiki tunacho kishuhudia ndani ya ssm ndio haswa siasa zao za kuchafuana.Nape naye ni mbuzi wa kafara kwa kikwete haiwezekani huyu ndimu aongee mamboyote hayo na kuzunguka nchi nzima bila kukemewa na kikwete.

Kikwete huwa hataki kujitokeza adhalani ila anatumia watu ili kama kuna mashambulizi apime joto kwanza ndo atajitokeza. Dhambi wanayo ifanya kuchafua wapinzani na wao itawala watachafuana, watagombana pia watauana mpaka watakapo acha kuwakosea watanzania kwa kuwahujumu ili walinde maslahi ya mtu binafsi. Sasa kama ni uongo mpaka taifa linatumia mabilioni kurudia uchaguzi wa igunga kwa upuuzi wa ubinafsi na siasa za kuchafuana.
 
Hivi Nape kuwaita chadema CHANDIMU ana maana gani? Maneno hayo yameandikwa katika ukurasa wake w FACEBOOK, ninavyojua mimi maana ya chandimu ni mpira wa miguu unaotengenezwa kwa makaratasi na unachezwa bila ya viatu na watoto wadogo, kwa hiyo amewafananisha chadema na mchezo wa kitoto? waswahili wanasema ngoma ya kitoto haikeshi!!, hiyo yote inatokana na misimamo ya chama hicho na kufikia hatua ya sasa kutaka kuonana na Rais kikwete, ndio maana anasema "ngoma ya kitoto haikeshi".
 
Acha aendelee kuropoka....tunamsubiri aje arusha kwenye uchaguz mdogo wa madiwan..
 
Nadhani alikuwa na maana kwamba chema imewachachua maana walidandia gari wasilojua linaenda wapi sasa limewatumbukiza kwanye shimo.Hoja ya ufisadi ni ya chadema alivyoona inashabikiwa na wananchi naye kaidandia ila kasahau kuwa hana maelezo ya kutosha alisahau kuyachukua chadema sasa ndo inamuondoa kwenye ulingo wa siasa
 
Hana maana hata kidogo anaropoka alipaswa asome mazingira ya kazi boc wake mwenyewe ana mgwaya Lowasa yy kaenda kichwa2 kisha kwama hakawi kubadrisha maneno juu ya gamba maana hili halivuliki EL kiboko bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom