Nape Nnauye aache unafiki

Nape Nnauye aache unafiki

Mh.@nape_nnauye nina muheshimu saana ila vyema aache unafiki kidogo.

Jimbo la Mheshimiwa NAPE ,Mtama huko Lindi katika uchaguzi wa 2020 .Ni Jimbo ambalo lilipita bila kupingwa ,yeye alikuwa ni mgombea wa huko na alipita bila kupingwa.

Yeye alikuwa ni mshiriki kwa asilimia zote ili apite bila kupingwa na mgombea mwenyewe nguvu wa Chadema aliyekuwepo Seleman Mathew alipangiwa njama kuzuiwa ili asishiriki uchaguzi. Kumfanyia vigisu na kumpangia njama mgombea mwenzako asishiriki ili upite wewe ni sawa tuu na kumuwekea pingamizi ,ingawa Pingamizi ni formal disfranchisement na figisu alizofanyiwa Seleman Mathew Mtama ni informal Disfranchisement.

Tarehe 24 ,Agosti 2020 , Mgombea Ubunge wa Chadema Seleman Mathew alienda katika Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi ili kuweza kuhakiki fomu mbele ya afisa wa uchaguzi aliyekuwepo ofisini.

Muda si mrefu ,Ma afisa wa Takukuru wakaingia na kumkamata Seleman Mathew ikumbukwe tar 25 Augost ndio ilikuwa mwisho wa kurejesha fomu , Seleman Mathew akalazwa ndani na tarehe 25 Saa 10:30 jioni akapelekwa mahakamani (uliona wapi Mahakamani ya saa 10:30 jioni ) kwanini hakupelekwa asubuhi ? .Hadi anaachiwa na kupewa dhamana muda wa kurejesha fomu ukawa umeisha.Hivyo Nape kupita bila kupingwa na sasa hivi ni Mbunge anayetamka eti hapendi mapingamizi .

Kesi aliyofunguliwa Seleman Mathew ni kesi ya kupanga njama kutoa Rushwa kwa Afisa wa uchaguzi ili atangazwe yeye Oktoba 28, 2020. Kwani Afisa wa uchaguzi ndiye anayetangaza matokeo au matokeo yanatangazwa na Msimamizi wa uchaguzi ?

Hivyo kesi hiyo ilipofika Desemba 2020 ilifutwa .

Hivyo Nape hana moral Authority kuzungumzia mapingamizi sababu amekuwa mshiriki mkubwa sababu yupo Bungeni sio kwa ushindani na mamlaka ya wananchi kumchagua ila kama aliteuliwa tuu baada ya kupita bila kupingwa .

Nitaendelea kukubaliana na @nape_nnauye
Katika maeneo mengine ila sio hili la yeye kuonesha kuchukizwa na pingamizi ,hata Kama anasemea uchaguzi wa Serikali za mitaa ,alipaswa kuonesha mfano wa kuchukizwa na hayo katika uchaguzi mkuu .Hivyo anataka kutuambia uchaguzi wa Serikali za mitaa alichukizwa Ila Uchaguzi mkuu hakuchukizwa sababu alikuwa ni mgombea?
Kwaiyo kusema ukweli ndio ni dhambi? jibu tafadhali
 
Je alichokizungumza ni uongo? Jadili alichozungumza makosa yake binafsi hayawezi kuzuia kuongea ukweli. Mkuu be brave.
 
Katika maeneo mengine ila sio hili la yeye kuonesha kuchukizwa na pingamizi ,hata Kama anasemea uchaguzi wa Serikali za mitaa ,alipaswa kuonesha mfano wa kuchukizwa na hayo katika uchaguzi mkuu .Hivyo anataka kutuambia uchaguzi wa Serikali za mitaa alichukizwa Ila Uchaguzi mkuu hakuchukizwa sababu alikuwa ni mgombea?View attachment 1763757
Well said Nape. Walimwaga mboga na wewe mwaga ugali. Ngoma droo kimeumana!
 
Kama Abdul Nondo ndiyo unaandika namna hii basi wewe huwezi kukua kisiasa. Hata majukumu uliyopewa na Chama chako yana akisi kuwa ACT haina msingi mzuri na hivyo haina watu makini.

Kwa umri wako tafuta kazi nyingine ukafanye lakini kwenye siasa huwezi KUTOBOA.

Hoja za NAPE hazijibiwi kirahisi na kijuujuu hivyo. Udhaifu wa Nape haupunguzi uzito wa hoja zake
 
Mh.@nape_nnauye nina muheshimu saana ila vyema aache unafiki kidogo.

Jimbo la Mheshimiwa NAPE ,Mtama huko Lindi katika uchaguzi wa 2020 .Ni Jimbo ambalo lilipita bila kupingwa ,yeye alikuwa ni mgombea wa huko na alipita bila kupingwa.

Yeye alikuwa ni mshiriki kwa asilimia zote ili apite bila kupingwa na mgombea mwenyewe nguvu wa Chadema aliyekuwepo Seleman Mathew alipangiwa njama kuzuiwa ili asishiriki uchaguzi. Kumfanyia vigisu na kumpangia njama mgombea mwenzako asishiriki ili upite wewe ni sawa tuu na kumuwekea pingamizi ,ingawa Pingamizi ni formal disfranchisement na figisu alizofanyiwa Seleman Mathew Mtama ni informal Disfranchisement.

Tarehe 24 ,Agosti 2020 , Mgombea Ubunge wa Chadema Seleman Mathew alienda katika Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi ili kuweza kuhakiki fomu mbele ya afisa wa uchaguzi aliyekuwepo ofisini.

Muda si mrefu ,Ma afisa wa Takukuru wakaingia na kumkamata Seleman Mathew ikumbukwe tar 25 Augost ndio ilikuwa mwisho wa kurejesha fomu , Seleman Mathew akalazwa ndani na tarehe 25 Saa 10:30 jioni akapelekwa mahakamani (uliona wapi Mahakamani ya saa 10:30 jioni ) kwanini hakupelekwa asubuhi ? .Hadi anaachiwa na kupewa dhamana muda wa kurejesha fomu ukawa umeisha.Hivyo Nape kupita bila kupingwa na sasa hivi ni Mbunge anayetamka eti hapendi mapingamizi .

Kesi aliyofunguliwa Seleman Mathew ni kesi ya kupanga njama kutoa Rushwa kwa Afisa wa uchaguzi ili atangazwe yeye Oktoba 28, 2020. Kwani Afisa wa uchaguzi ndiye anayetangaza matokeo au matokeo yanatangazwa na Msimamizi wa uchaguzi ?

Hivyo kesi hiyo ilipofika Desemba 2020 ilifutwa .

Hivyo Nape hana moral Authority kuzungumzia mapingamizi sababu amekuwa mshiriki mkubwa sababu yupo Bungeni sio kwa ushindani na mamlaka ya wananchi kumchagua ila kama aliteuliwa tuu baada ya kupita bila kupingwa .

Nitaendelea kukubaliana na @nape_nnauye
Katika maeneo mengine ila sio hili la yeye kuonesha kuchukizwa na pingamizi ,hata Kama anasemea uchaguzi wa Serikali za mitaa ,alipaswa kuonesha mfano wa kuchukizwa na hayo katika uchaguzi mkuu .Hivyo anataka kutuambia uchaguzi wa Serikali za mitaa alichukizwa Ila Uchaguzi mkuu hakuchukizwa sababu alikuwa ni mgombea?
Huyu tangu apigwe chini Uwaziri kipindi cha JPM amekuwa na NONGWA za kiswahili swahili zisizokwisha, mara asikike akiteta Wakubwa zake kwenye simu, mara ooh nilivunjika mkono kwenye kazi za CCM, so what mother.... Hivi, kwani ukiwa Mbunge lazima uwe Waziri?

Huyu akipewa Uwaziri huwezi kumsikia akibwata bwata hovyo.
 
Amani iwe nanyi.

Tangu afukuzwe kwenye uwaziri Nape Nnauye aligeuka mkosoaji mkubwa wa mwenendo wa ccm chini ya hayati rais Magufuli na katibu mkuu Dr Bashiru!
Mpaka sasa Nape ameendelea kufanya hivyo.

Hebu tujikumbushe ccm iliyokuwa inaongozwa na Nape kama katibu wa itikadi na uenezi.

1. Ni ccm ambayo ukivaa nguo ya ccm unazomewa njia nzima.
2. Ni ccm ambayo makusanyo ya kodi ya mali zake yalikuwa million 500 kwa mwaka.
2. Ni ccm ambayo ilizalisha mawaziri mizigo.
3. Ni ccm ambayo iliahidi kushinda kwa kutumia bao la mkono.
4. Ni ccm iliyozalisha Richmond, Tegeta escrow etc
5. Ni ccm ambayo machinga ,mama ntilie ,wizi na ujambazi ulishamiri sana nchini.

Hebu tumulike na ccm inayolalamikiwa na Nape.

1. Ni ccm ambayo unaweza vaa nguo ya ccm na ukapita mitaa yote kishujaa kabisa.

2. Ni ccm ambayo makusanyo ya mali zake yamefikia billion 20 kwa mwaka, hadi kufikia kuendesha uchaguzi bila kutegemea tajiri yoyote.
3. Ni ccm ambayo mama ntilie ,bodaboda ,machinga wamegeuka wafalme ndani ya nchi yao.
4.Ni ccm ambayo ina mvuto hadi Pemba, Arusha ,Mbeya ,Serengeti wananchi wameamua kuichagua .

Je Nape unalalamika kila siku na kukosoa ili ccm ibadilike tena irudi uliyoiongoza wewe?.

Nape kama ccm yako ilikuwa na mvuto sana kwa wananchi ni kwa nini ulishawahi kunukuliwa ukisema ccm ulitoa shimoni??
 
Naunga mkono hoja, Nape hakustahili wala hakuwa na sifa ya kupewa nafasi kubwa ndani ya CCM wala Serikali. Tumtumie Nape kama kielelezo cha kujikweza na kuona wengine hawawezi
 
Nape yeye Sitta na Mwakyem even now walishaanzisha chama kingine ila alirudi ccm ni msaka tonge
 
Mh.@nape_nnauye nina muheshimu saana ila vyema aache unafiki kidogo.

Jimbo la Mheshimiwa NAPE, Mtama huko Lindi katika uchaguzi wa 2020 .Ni Jimbo ambalo lilipita bila kupingwa ,yeye alikuwa ni mgombea wa huko na alipita bila kupingwa.

Yeye alikuwa ni mshiriki kwa asilimia zote ili apite bila kupingwa na mgombea mwenyewe nguvu wa Chadema aliyekuwepo Seleman Mathew alipangiwa njama kuzuiwa ili asishiriki uchaguzi. Kumfanyia vigisu na kumpangia njama mgombea mwenzako asishiriki ili upite wewe ni sawa tuu na kumuwekea pingamizi, ingawa Pingamizi ni formal disfranchisement na figisu alizofanyiwa Seleman Mathew Mtama ni informal Disfranchisement.

Tarehe 24 ,Agosti 2020, Mgombea Ubunge wa Chadema Seleman Mathew alienda katika Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi ili kuweza kuhakiki fomu mbele ya afisa wa uchaguzi aliyekuwepo ofisini.

Muda si mrefu, Ma afisa wa Takukuru wakaingia na kumkamata Seleman Mathew ikumbukwe tar 25 Augost ndio ilikuwa mwisho wa kurejesha fomu , Seleman Mathew akalazwa ndani na tarehe 25 Saa 10:30 jioni akapelekwa mahakamani (uliona wapi Mahakamani ya saa 10:30 jioni ) kwanini hakupelekwa asubuhi ? .Hadi anaachiwa na kupewa dhamana muda wa kurejesha fomu ukawa umeisha.Hivyo Nape kupita bila kupingwa na sasa hivi ni Mbunge anayetamka eti hapendi mapingamizi .

Kesi aliyofunguliwa Seleman Mathew ni kesi ya kupanga njama kutoa Rushwa kwa Afisa wa uchaguzi ili atangazwe yeye Oktoba 28, 2020. Kwani Afisa wa uchaguzi ndiye anayetangaza matokeo au matokeo yanatangazwa na Msimamizi wa uchaguzi?

Hivyo kesi hiyo ilipofika Desemba 2020 ilifutwa.

Hivyo Nape hana moral Authority kuzungumzia mapingamizi sababu amekuwa mshiriki mkubwa sababu yupo Bungeni sio kwa ushindani na mamlaka ya wananchi kumchagua ila kama aliteuliwa tuu baada ya kupita bila kupingwa .

Nitaendelea kukubaliana na @nape_nnauye
Katika maeneo mengine ila sio hili la yeye kuonesha kuchukizwa na pingamizi ,hata Kama anasemea uchaguzi wa Serikali za mitaa ,alipaswa kuonesha mfano wa kuchukizwa na hayo katika uchaguzi mkuu .Hivyo anataka kutuambia uchaguzi wa Serikali za mitaa alichukizwa Ila Uchaguzi mkuu hakuchukizwa sababu alikuwa ni mgombea?
Bora ya unafiki wa Nape kuliko unafiki na ukinyonga wa Zzk.
 
Mh.@nape_nnauye nina muheshimu saana ila vyema aache unafiki kidogo.

Jimbo la Mheshimiwa NAPE ,Mtama huko Lindi katika uchaguzi wa 2020 .Ni Jimbo ambalo lilipita bila kupingwa ,yeye alikuwa ni mgombea wa huko na alipita bila kupingwa.

Yeye alikuwa ni mshiriki kwa asilimia zote ili apite bila kupingwa na mgombea mwenyewe nguvu wa Chadema aliyekuwepo Seleman Mathew alipangiwa njama kuzuiwa ili asishiriki uchaguzi. Kumfanyia vigisu na kumpangia njama mgombea mwenzako asishiriki ili upite wewe ni sawa tuu na kumuwekea pingamizi ,ingawa Pingamizi ni formal disfranchisement na figisu alizofanyiwa Seleman Mathew Mtama ni informal Disfranchisement.

Tarehe 24 ,Agosti 2020 , Mgombea Ubunge wa Chadema Seleman Mathew alienda katika Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi ili kuweza kuhakiki fomu mbele ya afisa wa uchaguzi aliyekuwepo ofisini.

Muda si mrefu ,Ma afisa wa Takukuru wakaingia na kumkamata Seleman Mathew ikumbukwe tar 25 Augost ndio ilikuwa mwisho wa kurejesha fomu , Seleman Mathew akalazwa ndani na tarehe 25 Saa 10:30 jioni akapelekwa mahakamani (uliona wapi Mahakamani ya saa 10:30 jioni ) kwanini hakupelekwa asubuhi ? .Hadi anaachiwa na kupewa dhamana muda wa kurejesha fomu ukawa umeisha.Hivyo Nape kupita bila kupingwa na sasa hivi ni Mbunge anayetamka eti hapendi mapingamizi .

Kesi aliyofunguliwa Seleman Mathew ni kesi ya kupanga njama kutoa Rushwa kwa Afisa wa uchaguzi ili atangazwe yeye Oktoba 28, 2020. Kwani Afisa wa uchaguzi ndiye anayetangaza matokeo au matokeo yanatangazwa na Msimamizi wa uchaguzi ?

Hivyo kesi hiyo ilipofika Desemba 2020 ilifutwa .

Hivyo Nape hana moral Authority kuzungumzia mapingamizi sababu amekuwa mshiriki mkubwa sababu yupo Bungeni sio kwa ushindani na mamlaka ya wananchi kumchagua ila kama aliteuliwa tuu baada ya kupita bila kupingwa .

Nitaendelea kukubaliana na @nape_nnauye
Katika maeneo mengine ila sio hili la yeye kuonesha kuchukizwa na pingamizi ,hata Kama anasemea uchaguzi wa Serikali za mitaa ,alipaswa kuonesha mfano wa kuchukizwa na hayo katika uchaguzi mkuu .Hivyo anataka kutuambia uchaguzi wa Serikali za mitaa alichukizwa Ila Uchaguzi mkuu hakuchukizwa sababu alikuwa ni mgombea?View attachment 1763757
Nape kwa kuamua kusema ukweli inawezekana akawa amegumdua madhaifu yake na sasa ameamua kujivua huo uzandiki.

Lkn Zzk atabakia kuwa mzandiki nambari moja .
Yeye kwake fursa ndiyo ipo kichwani mwake na mjiangalie nyinyi mnayemtumikia maana kuna siku anaweza kuamua kuwauza.
 
KAMA YEYE SIO MNAFIKI aombe uchaguzi urudiwe nchi nzima, aache makelele ya kitoto
 
Back
Top Bottom