Nape: Nilisoma kwa shida (Live channel ten)

Nape: Nilisoma kwa shida (Live channel ten)

Nape ni mtoto wa Magendo (mtoto wa nje), hivyo alikuwa hapati matumizi ya kutosha kwa sababu haikuwa kusudio la wazazi kumleta duniani. Walikuwa wanamegama kupeana utamu tu!
nape live chnl 10,amenishangaza eti amesoma kwa shida,wkt baba yk alikuwa kiongozi tena anasema hajawai kushikwa mkono mtu.wadau kwali?
 
usingeweza kusoma kwa raha mdogo wangu nape kwa kuwa wewe ni mtoto uliyezaliwa nje ya ndoa..so haukuwa preveledged...ushanifahamu
 
Kumbe wewe Nguini?naona umeorodhesha masomo ya Nguini....au utakuwa Mwalimu uliyeopt kwenye SO na PS?

sijaopt PS hata siku moja, ila kupitia wadau nimemfaham Banner na mzee wa repatwaa of responce.
 
fikiria uko udsm, halafu unafundishwa na Kadege, CL, kila ukifanya mtihani anakukamata, hapo hujarudi kwa Mwami na SO zake, bado hujaenda kwa Banner na PS zake, kila semister una kuwa na sapp 3, unadhani utasoma kwa raha? Lazima iwe kwa shida. so Nape labda alikuwa hivyo

umenikumbusha mbali kuhusu huyo Mwami, badala ya kufundisha industrial relation & labour law, akaishia kufundisha colonialism tena kwa wiki 3, hakuna ki2 pale.
 
Ahsanteni sana wote mlionikashifu na kunitukana! Mungu awabariki na kuwapa maisha mema, tatizo si lenu!! Just be blessed!
 
Mkuu Nape,
unavyo-respond humu JF inanipa wasiwasi juu ya uwezo wako wa kifikra na PR skills kwa ujumla.
Labda nikupe ushauri...
Wasiliana na Dr. W. Slaa ukupe shule kidogo kuhusu namna ya kukabiliana na hoja katika haya majukwaa..
Walikuwepo akina malaria sugu humu jamvini muda wa masaa 24 katika siku saba za wiki wakimkashifu Dr. W Slaa kwa kila namna..lakini kinyume na matarajio yao, Dr Slaa amejitahidi kujibu hoja nyingi japo sehemu kubwa zilikuwa hoja za maudhi zilizolenga kumdhalilisha!!
Well.. alijibu kwa unyenyekevu mkubwa!!
 
Back
Top Bottom