dini yake sio muhimu kwetu, cha muhimu achape kazi. Ila kwa kasi aliyo nayo lazima ataambiwa apungunguze makali, kwani wadau mmesahau yaliyomkuta Dr. wa ukweli- DR.MAGUFULI?
Baba yake Nape ni nani yuko wapi na anafanya nini? na kwa nini Nape aitwe Nape Moses Mnauye? sitalajii majibu mepesi kwa maswali mazito, naomba mwenye ukweli auleze in details. si vyema Great Thinkers tukaongozwa na emotions badala ya facts.