Nape ndani ya Twanga.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape ndani ya Twanga....

Discussion in 'Entertainment' started by KIM KARDASH, Mar 13, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  [h=2]Saturday, March 10, 2012[/h][h=3]*NAPE NNAUYE ASAKA NAMBA JUKWAA LA TWANGA, AMUACHA HOI ASHA BARAKA KWA KUIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYOTE[/h]

  [​IMG]
  Hapa Nape akipiga gitaa la Solo. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, jana alipata fursa ya kipekee kujiunga na Bendi ya Twanga Pepeta "Kisima Cha Buruduni" na kufanya nao mazoezi ndani ya ofisi za Aset zilizopo Kinondoni.


  Baada ya kufanya makamuzi ya nguvu ilidhihirika wazi kwamba ukiachilia mbali siasa Nape ni msanii mkali wa kuimba, na kupiga vyombo mbalimbali vya muziki.


  Aidha Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka alifurahishwa na kumshukuru sana Nape kuja kuwatembelea na kuwapa sapoti, vilevile alimuahidi kuwa nafasi yake itakua wazi kwenye bendi mara tu atakapo amua
  kuachia ngazi kutoka katika jukwaa la siasa na kuamua kujiunga katika tasnia ya muziki.
  [​IMG]
  Nape, akizichapa Tumba katikati ya Sebene.
  [​IMG]
  Nape akicharaza Gitaa la Besi..
  [​IMG]
  Nape, akikaanga 'Chips' yaani akizichapa Drams, ''Hiki kipaji we acha tu''....
  [​IMG]
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ngoja magwanda waone hii.

  Halafu tunataka mechi ya mpira, mchezo unaopendwa na wengi, wabunge wa CCM na wa CHADEMA. Kama magwanda hajalambwa kila mmoja bao moja pamoja na ma reserve wao.

  Hata DJ aliyemfundisha u DJ Mbowe ni kada, hawana pa kutokea.
   
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hivi mboe kumbe nae amewahi kuwa dj eeh?nchi kuna siku itakuja kuwa na rais "disco joker" kumbe.
   
Loading...