NAPE NAUYE vs WILLIUM J. MALECELA

NAPE NAUYE vs WILLIUM J. MALECELA

kura yangu inaenda kwa ...... , nimemuona WILL alfajiri hii humu jf ngoja ajibu yeye kwanza

Mmmh! Sijawahi mwona akitembelea jukwaa hili, ngoja tumsubiri aje Le Mutuz, Le Baharia, @ New York City, ha ha ha ha!!
 
Bora hata panya wangu ninayemfuga anaweza kuongoza kuliko hao vichaa.
.
"LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
 
Jamani Nape yupo juu, wa kumlinganisha na le mutuz...loo, ni kumdhalilisha.
 
Back
Top Bottom