NAPE NAUYE vs WILLIUM J. MALECELA

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Wote ni watoto wa waheshimiwa na wote ni wana ccm, Je kati ya hawa vijana wawili machachari ndani ya ccm, kimtazamo nani anauwezo wa uongozi zaid ya mwenzie
 
Wote ni watoto wa waheshimiwa na wote ni wana ccm, Je kati ya hawa vijana wawili machachari ndani ya ccm, kimtazamo nani anauwezo wa uongozi zaid ya mwenzie

Hakuna.....wanafanana sana.....labda ungebadilisha mada uweke nani karo laiti imemkubali kuliko mwenzie?
 
Mmoja bado kula kulala,mwingine hajui kwao iramba kaenda lini mara ya mwisho!jee wameoa?
 
Kiroho safi, nilivyoona mgongo wa thread nikajua ndani kunaulizwa nani kilaza kuliko mwingine... na mimi kwa mbwembwe zote nikawa nimejiandaa kumpa kura yangu Malecela. Ila mbeleni kwa thread kukanikata maini kabisa...
Samahani mtoa mada, unaweza kubadilisha swali la poll?
 
kura yangu inaenda kwa ...... , nimemuona WILL alfajiri hii humu jf ngoja ajibu yeye kwanza
 
Afadhali na Will sikumoja moja huwa ana challenge vitu ndani ya Magamba, ila huyu Nepi ndo kiazi kabisa
 
Wote ni watoto wa waheshimiwa na wote ni wana ccm, Je kati ya hawa vijana wawili machachari ndani ya ccm, kimtazamo nani anauwezo wa uongozi zaid ya mwenzie

Kwani Malecela kawahi kuwa na uongozi ndani ya CCM?
 
Back
Top Bottom