NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,174
1.jpg

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.Nape Nnauye akiongea na waandishi wa habari leo katika ofisi ndogo ya chama hicho zilizopo mtaa wa lumumba jijini Dar es salaam, juu ya uchaguzi mdogo wa ubunge ulifanyika jana katika jimbo la Arumeru mashariki, ambapo mgombea wa CHADEMA Joshua Nasari ameibuka mshindi kwa kura 32.972, chama cha mapinduzi kimekubali matokeo hayo yaliotangawa na Tume ya uchaguzi leo asubuhi


Nape kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi amempongeza kijana Nasari na kusema "Tunampongeza Joshua Nasari na hakuna hujuma yoyote uchaguzi ulikuwa huru na haki", lakini pia akawapongeza wananchi wa jimbo la Arumeru kwani hiyo ndiyo Demokrasia yao.

NIMEAMUA KUTUMIA VAZI LA CHADEMA KWA KUWA NALIPENDA ; NIMEKOSA UVUMILIVU, KIDUMU CCM

 
hana jipya, Mzee Makamba na timu yake walikuwa ma failures, ila hawakuvunja rekodi,
am telling you, Hawa waakina nape wataharabu mara 50 zaidi hata ya akina Makamba na Kichaa wake Tambwe Hiza
 
Nape ameshaichoka Magamba kwani alichokuwa anakipigania Magamba hakitekelezeki , anaambulia matusi na fedhea.Anakaribisha kambi ya wapiganaji wa kweli.
 
Waacheni waweweseke, itafahamika tu. Jana tumemsikia six anaponda ccm, juzi tulisikia mwakyembe anafanya maandalizi ya mwisho kuhamia cdm, leo nape.
Nawashauri waunde ccj nyingine ila wawe serious kuliko kipindi kile.
 
Honestly zamani nilikuwa nakuaminia sana Nape ila tangu upewe hilo jicheo baaaaaaasi mitizamo yako ikawa inapotea welekeo na maneno yako yakawa si matendo yako! Wewe ni kijana sana na ninajua hunaugonvi na CDM nakushauri tu ujipange ili baadae uje uunganishe nguvu kukomboa hii nchi. I know you know better than me jinsi nchi inavyotafunwa na mpaka sasa na ninavyojua mimi ni kwamba wewe si mmoja wa walioifilisi nchi hivyo kuhamia cdm hakutakutia hatiani bali utakuwa umeamua kwa maslahi ya nchi
 
Back
Top Bottom