Hivi bado watu wanamjadili Nape, mbona ilishakuwa concluded kwamba Nape amechanganyikiwa na kwamba hakuna haja ya kupoteza muda kumjadili mtu anaetakiwa akalazwe hospitali ya vichaa.
Talking about Nape, eti in jahazi la clouds! Kumsikiliza kibonde ni kama kuisikiliza radio Uhuru!
Naona sasa anasaidiwa na mtangazaji!