Nape na propaganda redioni

Nilishasema, Nape ni BOGUS na ndiyo maana alienda kusoma INDIA undergraduate kwa vilaza wenzake!

hivi mtu kama wewe ukiitwa una ubongo uliotindia utakataa.

india unaifananisha na vyuo vya kata mnavyosoma. wacha pumbafu yako. una wivu wa kiki wewe
 
hatuna amani ila tuna utulivu kwa sababu kama mtu ananyimwa haki zake halafu anakaa kimya hii sio amaini na hili nape analijua lakini anataka kuzuga tu watz.
 
hivi mtu kama wewe ukiitwa una ubongo uliotindia utakataa.

india unaifananisha na vyuo vya kata mnavyosoma. wacha pumbafu yako. una wivu wa kiki wewe

Hap Tanzania anayeanzsha sekondari na vyuo vya kata niu nai zaidi ya CCM? wewe na Nape nyote BOGUS.
 
Huyu dogo amewashika pabaya sana cdm, kubalini tu

Ungefafanua basi una maana gani unaposema Nape amewashika pabaya wana CDM. Najua umeenda shule na unaweza kuandika kwa kirefu zaidi. Usitake kuonekana kuwa una fikra finyu huku uko kwenye mtandao wa great thinkers. Fafanua!!!!
 
Jinsi vijana walivomgeuka Nape na kumpa hukumu za uwendawazimu kila uchao; inanishawishi kufikiri kuwa hata akija Malaika Mkuu CCM, Vijana bado watamtusi. Hawatajali anapigania maslahi ya Nchi ama Yao. Na hili ni tatizo linalotokana na mfumo wa Siasa kujengwa juu ya dhana ya kukamata dola pasipo kuweka miiko na agenda za Utaifa Kwanza. Hivyo kila mbinu na jitihada inayofanywa na chama cha siasa haina kipaumbele kingine zaidi ya kuwaza kushinda uchaguzi. Haijalishi mbinu hiyo inawagawa wananchi katika Ma-rika, Itikadi-kidini, Kikanda, Kikabila wala Kimapato. Mbaya zaidi mbinu za sasa zinawaondolea mashabiki utashi na akili ya kufikiri kwa kuwapatia majibu yanayolenga kuendelea kiuziteka hisia katika kufanikisha malengo na siyo kuleta suluhisho la matatizo
 
We mama sasa mzee wa watu Kiki kakukosea nini?

ha haa kaka haraka hiyo tena ya kupigilia msumari.

kiki unisamehe baba.
mtanzania anayesoma vyuo vikuu vya kata anadharau india. kweli nchi hii tuna akina zero wengi.
 
Kwa akili zake mbovu ndo maana chadema walimkataa mapema kujiunga nao kuwa mwanachama

sizitaki mbichi hizi. nyie anawafaa shibuda

nape anawakosesha usingizi chadema. kawashika pabaya.
slaa mbona kakimbia jf. anaogopa allowance milioni saba. mke wa kuiba gharama sana.
 
Nape ni kweli kazi yake inamruhusu kubwabwaja ila anatakiwa awe makini sana cdm data zipo akikurupuka na issue zisizo na kichwa wala miguu cdm ni makini itaruka nae tu.
 
Clauds fm inatumika vizuri na ccm hivyo ni rahisi wao kumkaribisha Nape kuendelea kuutumia ujinga wa WADANGANYIKA(Watanzania),Nape aendelee hivyo hivyo lakini mwisho wa siku(2015)tutafanya mauaji na ole wao ccm na jeshi la polisi wachakachue safari hiyo hatutakubali watatuua na wataongoza miti
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom