apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
Haya ndo mnayoyapenda wana CDM ''negativity'' baada ya kupofuka kwa dhana ya ''majestice opposition is to oppose basi''.Ukweli ni kuwa dogo anauwezo mkubwa na sisi wenye akili zetu timamu tunamkubali kwa facts.Safi sana! kuna jamaa amemchana damu chafu...
Yuko strategically katika reforms huku Mkama akijiandaa na makubwa zaidi.Songa dogo we need men like you katika uenezi,we have seen your progress hasa kwa kutoa shule na idadi ya new members within short period of time.