Nape na Mnyika on ITV - 31/7/14 saa moja jioni

Nape na Mnyika on ITV - 31/7/14 saa moja jioni

Leo makatibu wenezi wa vyama viwili Chadema(demokrasia) na CCM(Ufisafi) watakuwa wakidadafua juu ya Katiba mpya .mada ni UZALENDO.

Usikose kupata elimu toka kwa kijana machachali JJ Mnyika.

Naangalia! Dah! kweli siasa nouma!
 
Nape amepwaya sana maskini ya Mungu. Anatia huruma utadhani amekutana na simba msituni.
 
Bora Itv wanajitambua kuliko tbc...

Unajua kama mtu anasema ukweli, na anachokiongea kina maslahi makubwa ya taifa kwanini asipendelewe???????
 
Mdahalo unaoendelea sasa hivi ITV hauna maana yoyote kwani badala ya mtangazaji kutoa nafasi kwa wazungumzaji wote wawili, kamwachia Mnyika anarapu tu!

My take; ITV nayo ni ukawa tu.

Tulia sindano ya ng'ombe iwaingie kutoka kwa Mnyika. Swine nyie!

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Leo makatibu wenezi wa vyama viwili Chadema(demokrasia) na CCM(Ufisafi) watakuwa wakidadafua juu ya Katiba mpya .mada ni UZALENDO.

Usikose kupata elimu toka kwa kijana machachali JJ Mnyika.
Naona leo Nape kanywea sasa ccm wameanza kunyooka kelele zote alizokuwa akipiga nje ya mijadala sijazisikia leo
 
Nape hana point , ndio maana anaachwa. Hana alijualo yeye anaforce tu.
 
Mdahalo unaoendelea sasa hivi ITV hauna maana yoyote kwani badala ya mtangazaji kutoa nafasi kwa wazungumzaji wote wawili, kamwachia Mnyika anarapu tu!

My take; ITV nayo ni ukawa tu.
Nape hana hoja za kuongea,na leo naona amenywea zile kelele alizokuwa akipiga nje ya mijadala leo sijazisikia chezea UKAWA ni mwendo wa kujenga hoja tu
 
Mdahalo unaoendelea sasa hivi ITV hauna maana yoyote kwani badala ya mtangazaji kutoa nafasi kwa wazungumzaji wote wawili, kamwachia Mnyika anarapu tu!

My take; ITV nayo ni ukawa tu.

Yaani leo nimeamini kweli degree ya india kwa Nape ni zero kabisa kila alichokua anasema Mh.Mnyika Nape anaunga mkono sijajua kwa nini Nape hakuzungumza uongo upuuzi wake anaozungumza kwa wananchi ktk mikutano ya kinana.Ama kweli Mnyika mmoja ni Wanaccm 5milioni
 
Naona leo Nape kanywea sasa ccm wameanza kunyooka kelele zote alizokuwa akipiga nje ya mijadala sijazisikia leo

All in all Nape kashindwa "kishujaa". Maana kutetea upande aliousimamia ni mgumu!!!
 
hii nchi mzalendo alikuwa hayati Mwl. Julius K. Nyerere
 
Leo Nape kanyooka Naona kaanza kuelewa nini maana yakuongea na vyombo vya habari kulopoka lopoka Leo haikuwepo
 
Mbona mm sioni kitu. Acheni usanii. Naona isidingo the need.
 
Back
Top Bottom