rashidforeseer1
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 339
- 140
mnyika ni nomaaaa nape leo kaufyata
Jamani wengine hatujaona.
mnyika ni nomaaaa nape leo kaufyata
mnyika one
Mbona mm sioni kitu. Acheni usanii. Naona isidingo the need.
Mbona mm sioni kitu. Acheni usanii. Naona isidingo the need.
Ukawa mnaanza kujamb'jamb' tu baada ya kuambia jembe Nape Moses Nnauye atakuwa ndani ya nyumba!. Tulieni mpini uwaingie vema.
Leo makatibu wenezi wa vyama viwili Chadema(demokrasia) na CCM(Ufisafi) watakuwa wakidadafua juu ya Katiba mpya .mada ni UZALENDO.
Usikose kupata elimu toka kwa kijana machachali JJ Mnyika.
Tulia sindano ya ng'ombe iwaingie kutoka kwa Mnyika. Swine nyie!
![]()
Sent from my iPad using JamiiForums
Mtoi from mwuce nipe updates mkuu nami nifaidi nipo mbali na tv.
hii nchi mzalendo alikuwa hayati Mwl. Julius K. Nyerere
Leo nimecheka sana yaani Nape hajajibu suala la raisi kwenda kuitisha mkutano kwa wajumbe wa ccm na NEC juu ya msimamo wa serikali tatu,pia Nape ameshindwa kueleza ni kwanini wanang'ang'ania serikali mbili.Leo mtu katulia yaani kama mgonjwa,itabidi Nape akiwa katika mijadala awe anatafutiwa dawa za hamu ya kuongea ili ajenge hoja.
Bora useme wewe
Baada ya nyerere mzalendo alie baki ni Chinga One peke yake.
mnyika ameshindwa kutuletea maji ubungo.. asubir uchaguz mwakan aone hasira zetu
mkuu huyu mtoi sio yule unae mjua wewe huyu ni mwingine kabisa japo wote ni wagosi wa kayA..huyo mtoi unae mjua ni lekchara chuo cha seKomu.