Nape na Mnyika on ITV - 31/7/14 saa moja jioni

Nape na Mnyika on ITV - 31/7/14 saa moja jioni

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
Leo makatibu wenezi wa vyama viwili Chadema(demokrasia) na CCM(Ufisafi) watakuwa wakidadafua juu ya Katiba mpya .mada ni UZALENDO.

Usikose kupata elimu toka kwa kijana machachali JJ Mnyika.
 
tupo pamoja ngoja tumuone nepi akibwabwaja mbele ya kijana mpambanaji mnyika
 
...

......hapo nikama mnashindanisha mbio kati ya konokono gamba na Duma huko Serengeti !!!!
 
Leo makatibu wenezi wa vyama viwili Chadema(demokrasia) na CCM(Ufisafi) watakuwa wakidadafua juu ya Katiba mpya .mada ni UZALENDO.

Usikose kupata elimu toka kwa kijana machachali JJ Mnyika.

Mkuu saa moja tayari mbona kimya? Au hizi habari hazina uhakiaka
 
Mdahalo unaoendelea sasa hivi ITV hauna maana yoyote kwani badala ya mtangazaji kutoa nafasi kwa wazungumzaji wote wawili, kamwachia Mnyika anarapu tu!

My take; ITV nayo ni ukawa tu.
 
Back
Top Bottom