Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
mnyika ameshindwa kutuletea maji ubungo.. asubir uchaguz mwakan aone hasira zetu
Mkuu.
Una haki kabisa ya kuandika uliyo andika maana kwa kichapo kile nisinge tarajia uandike kingine! Siku nyingine mumkataze asije kwenye midahalo ili muwe walau na kuchangia kwenye thread inayo mhusu yeye na Mnyika.
Ukweli ni kwamba jamaa yenu leo hakuwa anatoa zile sauti kama za mahuburi awapo jukwaani. Alikuwa kama kakutana na simba mwenye njaa msituni halafu yeye mguu una muuma na miti iliyooko karibu yake ina miba.