Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,..
naomba mwenye updates atupatie huko aliko,...
magari machakavu au waliyochakaza wao kwenye kampeniruzuku mlioyotumia kununua magari machakavu ni ufisadi wa hali ya juu
Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadi🙂 ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).
Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini
Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini