Hoja gani ya kujibiwa?Ama kweli hakuna mwenye nafuu CCM hata mmoja...badala ya kujibu hoja kwa hoja wao wanakuja na blah!blah!...hoja ya magamba na siku 90 haieleweki, mara wanakuja na hili la mafisadi wa CDM....Slaa aliwaambia anayeona kasingiziwa aende mahakamani wao badala ya kuwasupport waliosingiziwa ili wakisafisha chama wanapiga blah bhah tu
Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadiπ ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).
ruzuku mlioyotumia kununua magari machakavu ni ufisadi wa hali ya juuKwani serikali ya CCM imewahi kuteuwa wanachama kutoka Chadema kuwa viongozi wa juu wa serikali na taasisi zake katika zile nafasi nyeti za kufanza ufisadi?
Nape asituijie na mambo ya ruyzuku ya vyama na kusema eti ndiyo ufisadi, au mambo ya mamilioni machache ambayo hayalingani na mabilioni ya ufisadi ndani ya CCM na serikali yake.
Kwani ufisadi ni nini?
au ufisadi unakua ufisadi pale tu unapo kua unaongoza serikali?
Dr.Slaa alimtaja mangula aliye kua katibu mkuu wa ccm kama fisadi,
au naye pia alikua kiongozi wa serikali?
Tatizo sio kutaja,tatizo ni kuwa na uwezo wa kusimama na kutaja,..
naamini siku itaisha hajafanya kitu,ila wakitaja pia ni mwanza wa
chadema kuondoa magugu,..
kusema kwamba ufisadi wa ruzuku ndogo za chama sio ufisadi tuna jidanganya,...
hao unao waona mafisadi wadogo siku wakishika nchi na level ya ufisadi wao itaongezeka,..
It's time to make chadema clean for the take over,and we need some one outside chadema
to point out the weakness chadema has,...and the time is now.
Ndugu yangu nilikuwa nakuheshimu sana , tena nikadani wewe ni kijana makini kumbe bure kabisa you deservr to wear that green Gamba, yaani wewe ufisadi unaosababisha nchi isiende unaona tuuache , tujadili nini sasa wewe na rais wako aliyeenda kutembela wagonjwa hospital na kuona tu jinsi wanavyoteseka bila hta kupeleka dawa kwa kuwa hazikuwepo mnafanana for each and everything, usifikiri watu ni wajinga kama wewe ulivyo, pia Nape siyo Makini kama unavyodai, mtu yeyote aliye makini hawezi kuteuliwa na Jk akakubali au tuonyeshe ni kipi alichowahi kufanya Nape akaonekana makini dont rose from now where na uanze kudanganya na kuleta story zenu za magamba hapa
You are young like us lakini unachozungumza it like kimezungumzwa na mzee wa umri wa kingunge , leo watumishi wa umma hawajalipwa mishahara sababu ya ufisadi, barabara haziishi cause of ufisadi,madawa hospital ,mashule, no walimu, mikataba mibovu, viongozi wabovu kama wewe,nchi kukosa dira pamoja na mengine yafananayo na hayo yote ni kwa sababu ya UFISADI
Huu ni umbumbumbu wa hali ya juu. Yaani kwa sababu anafanya ufisadi mdogo aachwe tu asiguswe eti kwa sababu hakuna madhara ya ufisadi huo kwa umma, wakati hizo nazo ni kodi za wananchi? Hivi unadhani mbuyu si ulianza kama mchicha?
Yaani unadhani kukataa uteuzi ndiyo measure ya usafi? Ndugu yangu fungua macho na uache ushabiki uliojaa upofu. Jamaa ana msimamo ulio thabiti na ni msafi lakini dhambi yake ni kwa sababu anagusa pale mnapoona nyie kuwa ni mahali nyeti lakini ufisadi unaoendelea huko CDM tena kwa fungu hilo dogo ni mkubwa na unajiuliza kama wangekuwa wamekalia mabilioni hali ingekuwaje!
This is the most candid admission ever to be given by a CDM sympathiser. You have really made a wonderful statement of intent and revealed what other people would sweep under the carpet.
mKUU,
Tuambie mwenzetu umepata wapi taarifa hizi, au hata kama chanzo ni wewe mwenyewe tujuze!
In case list hii ikitajwa, basi itakuwa ni alarming bell kwa cdm ku'stick kwenye kile wanachohubiri kila siku kwa umma wa Watanzania!
Lakini pia, tendo hili linaweza kumharibia sana Nape in case asipokuwa makini, na aka'miss-project! Ataonekana boya fulani lisilojua hasa anachotakiwa kukifanya kwa nafasi aliyopewa katika chama cha magamba!
Namtakia kila la heri kijana huyu!
Ndugu yangu nilikuwa nakuheshimu sana , tena nikadani wewe ni kijana makini kumbe bure kabisa you deservr to wear that green Gamba, yaani wewe ufisadi unaosababisha nchi isiende unaona tuuache , tujadili nini sasa wewe na rais wako aliyeenda kutembela wagonjwa hospital na kuona tu jinsi wanavyoteseka bila hta kupeleka dawa kwa kuwa hazikuwepo mnafanana for each and everything, usifikiri watu ni wajinga kama wewe ulivyo, pia Nape siyo Makini kama unavyodai, mtu yeyote aliye makini hawezi kuteuliwa na Jk akakubali au tuonyeshe ni kipi alichowahi kufanya Nape akaonekana makini dont rose from now where na uanze kudanganya na kuleta story zenu za magamba hapa
You are young like us lakini unachozungumza it like kimezungumzwa na mzee wa umri wa kingunge , leo watumishi wa umma hawajalipwa mishahara sababu ya ufisadi, barabara haziishi cause of ufisadi,madawa hospital ,mashule, no walimu, mikataba mibovu, viongozi wabovu kama wewe,nchi kukosa dira pamoja na mengine yafananayo na hayo yote ni kwa sababu ya UFISADI
Huu ni umbumbumbu wa hali ya juu. Yaani kwa sababu anafanya ufisadi mdogo aachwe tu asiguswe eti kwa sababu hakuna madhara ya ufisadi huo kwa umma, wakati hizo nazo ni kodi za wananchi? Hivi unadhani mbuyu si ulianza kama mchicha?
Yaani unadhani kukataa uteuzi ndiyo measure ya usafi? Ndugu yangu fungua macho na uache ushabiki uliojaa upofu. Jamaa ana msimamo ulio thabiti na ni msafi lakini dhambi yake ni kwa sababu anagusa pale mnapoona nyie kuwa ni mahali nyeti lakini ufisadi unaoendelea huko CDM tena kwa fungu hilo dogo ni mkubwa na unajiuliza kama wangekuwa wamekalia mabilioni hali ingekuwaje!
usiwe kama pimbi wewe, msimamo gani alio nao au shda na njaa ndiyo zinazomsumbua? msimamo gani mbona alitamaba anatoa barua kwa RA, EL na mzee wa vijisent mbona amekimbia , hiyo ngoma imemshinda hata mkuu wa kaya Vuvuzela litaweza?
Nape mropkaji na mpuuzi kama wewe, sidhani hata kama huwa unatumia akili kufikiri, labda unatumia ngozi sasa baada ya gamba kutoka umejikuta akili nay imeenda ni BORA HATA YUSUF MAKAMBA KULLIKO WEWE NA NAPE
Here we are. tumechoka na wimbo wa ufisadi, tubadilishe chorus, tufanye mambo ya msingi.
Well stated mkuu!Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadiπ ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).