Nape na Kipindi Maalum - CCM Kujivua Gamba

Huu mwaka kazi mnayo.....na mtaandaa vipindi maalumu mpaka mtakoma......

Alafu ona msivyo strategic, jana watu wamecioncentrate na Osama na Obama nyie mnazungumzia gamba lenu......

Leo kuna Barca na Real Madrid, nyie mnakuja na magamba yenu.....who the hell to give you attention?....Kitu Live Supersport!!!!!!

Mnahitaji kukopa akili kwanza kabla hata ya kuhangaika na mijigamba yenu.........crazy!!!!!!
 
Issue ni kuweka historia sawa na kuwaziba mdomo watu wanaopotosha falsafa ya kujivua gamba.

GambaJipya, you're very much misled if you think what CDM is doing is misconception of your CCM's kujivua gamba notion. Tunasoma uraia kutoka Chadema nyie mlie tu.
Kama namwona dogo Nape anawafundisha namna ya kuoga: unaanza na kichwa, mikono...........................
 
Who cares? Kuna mechi ya maana nibaki kiangalia upupu wa ccm kwani sina akili?
 
Nipoteze muda kuangalia chama mfu cha wafujaji wa mali zetu, chama cha misukule ! Bora nikaangalie katuni ya powerpuff girl!
 
Leo usiku katika kituo cha ITV kutakuwa na kipindi maalum cha CCM kujivua gamba, nadhani sasa upotoshaji wa CDM juu ya kujivua gamba kwa umma utakuwa mwisho.

Kwa muda mrefu CDM wamekuwa wakipotosha maana halisi ya kujivua gamba, tofauti na tafsiri yake halisi.
Wanapotosha wao wenyewe CCM sio CDM. Nani kamtuma Nape Nnauye aseme ambacho hakikuazimiwa na NEC? Nani kamtuma Mukama ampinge mjumbe wake wa Sekretarieti Nnauye? Mtajichubua hadi damu na kuitazama CDM lakini mwisho wenu umefika, ha ha ha!
 
Who cares? Kuna mechi ya maana nibaki kiangalia upupu wa ccm kwani sina akili?
Duh, Mkuu umenena si afadhali umenikumbusha ngoja nisogee karibu na Luninga nicheki game ya Barca vs Madrid
 
Kama wamejivua magamba,mbona wahangaika.Si watulie,tutaona matendo yao.Kifupi CCM hawapaswi kupewa mtoto ili wamlee hata kama wameokoka.Walipotufikisha panatosha.Enough is enough.
 
Ccm bwana wanajipeleka kufa wenyewe
1.eti wanavua magamba hivi nani ana uwezo wa kumtoa lowasa? Lowasa ni kila kitu takukuru, makatibu wakuu, usalama, wakuu wa wilaya na mikoa, wakurugenzi, nec na wajumbe wa mkutano mkuu.
2. Eti wanavua magamba hivi nani ana uwezo ndani ya cicim kumtoa vijesenti ndani ya ccm -mikataba yote inayotutesa leo na kutupa umaskini na ambayo wakulu wote wana 10% hapo ana rekord zake -ndio maana alaisema hela zake ni vijsenti ni kwa sababu anajua kuna watu ndani ya hilo chama ni magamba kweli wana matrililion ambayo watanzania wakijua -vijisenti watamsameshe, sasa ni nani anaweza kumtoa huyo?
3. Nani asiye jua rosta ndio kamweka mkulu kwa money zake -anajua shilingi zote za hilo chama -hivi nani anaweza kumnyoshea mkono.

Hawa magamba wasitupoteze mudaaaaaa, ni dr slaaa tu akiingia pale magomemeni atayatoa hayo magamba
 
jamani acheni kuwafanyia kampeni baba zenu, washaurini warudishe pesa walizo waibia wananchi ndo waende kujivua gamba
 
Magamba ya nini siku ya mtanange kama leo? Hata kama mtanange usingekuwepo tamthilia zinazorushwa ktk vituo vya televisheni ni bora kuliko Senema ya Magamba. Hiyo hotuba ya JK tu, haifui dafu kwa tamthilia kemkem. Mmedoda..!
 
Msanii.jpg

Comedians wakiwa kazini......leo wanajivua Magamba! Ngoma ya wachawi hii


attachment.php
 
Who cares? Kuna mechi ya maana nibaki kiangalia upupu wa ccm kwani sina akili?

Mkuu tutakuwa wote kwenye mechi. Ni afadhali kumuangalia morinho na vijana wake kuliko kusikiliza kujivua gamba. Katibu ameishasema kwamba hakuna gamba ambalo linavuliwa ila wanapambana na ufisadi. Kupambana na ufisadi ni neno pana kwelikweli kwa maana hiyo usije ukashangaa wanafukuzwa wenyeviti wa CCM wa vijiji kwa kusingiziwa kwamba walikihujumu chama wakati wa uchaguzi. Mtakataa kwamba Chama hakijawashughulikia mafisadi kama watafukuza wenyeviti wao wa vijiji? Wakati mnategemea mapacha watatu wafukuzwe, wanafukuzwa wenyeviti wa vijiji! Mtashangaaa!!
 
Katika mikakati wa kujivua gamba ITV Wamekuwa na vipindi maalumu na leo Nape ndani ya ITV
 
Dakika 45 ITV na Selemani Semunyu: Nape anajaribu kubabaisha kuhusu kauli mbiu ya Kujivua gamba, kauli kwao CCM ni kama kuoga, anashindwa kubainisha iwapo barua zimetolewa kwa wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi (ni nani hao?, hataki watanzanian wawajue!!) na utaratibu wa kuwapa barua upoje (anajibu ni siri,..)...haijulikani ni nani ambao wapo katika orodha ya CCM ya wanaotakiwa kuwajibika kwa kuifanya CCM ipoteze mashiko mbele ya wananchi ( na watawajibika kwa lipi?, hawa ndio walionadiwa kuwa ni safi mbele ya watanzania)..kwa tafsiri ya Nape, kuwajibika huko kwa wale wanaodaiwa kuwa Mafisadi kutakuwa kama ilivyokuwa kwa Mhe. Mwinyi na Natepe na sio kutoka katika chama (hii manake ni nini?, hawa watatakiwa wakili hadahrani kuwa wao ni mafisadi?? au watanyang'anywa kadi za chama au...au...????)..

Kwa Nape, kujivua gamba sio kuwawajibisha mafisadi kisheria bali kisiasa (haieleweki watafanywa nini)..anasema kama Serikali itaona wahusika wanafaa kupelekwa mahakamani basi inaweza kufanya hivyo ..( hivi hii Serikali ni ya Nani?? CCM na Serikali iliyopo madarakani ni Gamba na Nyoka?? yaani wanataka kuibebesha Serikali (Gamba) ishughulike na uovu wa baadhi ya wanachama wao ilihali chama ( kwa maana ya nyoka)kikipeta kwa kujinadi kiko safi mbele ya watanzania??)
 
ni kipindi maalum jombaaa, full ubabaishaji..... anajigonga na kujikanyagaaaa anyway check soccer to wakwetu hao full magamba
 
Back
Top Bottom