Nape na Kinana ni bora kuliko Polepole na Bashiru

Nakuuliza wewe chuki binafsi!

Kwamba !
Kinana (mzee wa kusafirisha ndovu)
Na
Nape
(Mzee wa goli la mkono).

Walikuwa wanafufua chama kilichouwawa na nani?

Wauwe wao halafu wafufuwe wao?

Muwe mnatunza kumbukumbu vizuri.

Bashiru aliongoza tume iliyoundwa kukusanya na kuorodhesha mali zote za CCM.

Mmojawapo wa watuhumiwa waliokutwa na ubadhirifu mkubwa ni huyo Nape Nauye ambaye alikuwa ameficha mpaka V8 mpya za chama nyumbani kwake.
Achilia mbali uuzwaji wa kifisadi mitambo ya Tanzania printpark na Chanel Ten TV.
Yoote hayo JPM alisamehe.

Huyu Kinana yeye alifikia mahali mpaka akasajili meli na kuitumia kusafirisha meno ya tembo toka nchini kwenda ughaibuni.
Mpaka pale ilipokamatwa na Interpol .
Sauti za yeye kumkashifu marehemu JPM zilivuja mitandaoni,lakini JPM alisamehe.ingekuwa ni huyu mama sijui ingekuwaje?

Yule Bulembo yeye shule za iliyokuwa TAPA, jumuia ya wazazi aliziuza kama mali yake.
Mfano hai kule Musoma kuna kesi iko mahakamani hivi tunavyoongea. Ni sekondari ya Isango.

Sasa hawa leo ndio watetezi wa Mh Samia?

Ushindi mkubwa wa kihistoria kwa CCM ulitokea chini ya uongozi wa hao unaowaita Mapimbi.haijawahi kutokea.

Watanzania tuna laana ya wizi unafiki, na uvivu na hatupendi ukweli na wakweli wake.

Huo ndio uhalisia
....acheni kuishi kwa visasi

2025 sio mbali na hakika CCM na mama yao huyu watawajua Watanzania wa leo.

MUNGU IBARIKI AFRIKA NA UWABANIKE WANAFIKI WA AFRIKA.

TANZANIA IWE NA AMANI mengine yatajinyoosha yenyewe kama ambavyo katiba mpya inaelekea kujileta yenyewe.

Pole sana nadhan ni wakat uanze kuamin mwemdazake kafa maana naona bado huamin ndo team yenu inapewa bye bye hamien upinzani
 
Shida ya wabongo ni uongo,uzandiki na hearsay,wapi alipokamatwa na meli yenye pembe za ndovu,una ushahid??

Bulembo alikuwa campaign manager wa Magufuli,je hakuyaona hayo madaudu yake had amchague kuwa manager wake?

After all kila zama na kitabu chake,hao waliochaguliwa ndiyo wanaonekana wanafaa kumsaidia president,ww utabakia kuandika tuh hapa JF
 
Nakuuliza wewe chuki binafsi!

Kwamba !
Kinana (mzee wa kusafirisha ndovu)
Na
Nape
(Mzee wa goli la mkono).

Walikuwa wanafufua chama kilichouwawa na nani?

Wauwe wao halafu wafufuwe wao?

Muwe mnatunza kumbukumbu vizuri.

Bashiru aliongoza tume iliyoundwa kukusanya na kuorodhesha mali zote za CCM.

Mmojawapo wa watuhumiwa waliokutwa na ubadhirifu mkubwa ni huyo Nape Nauye ambaye alikuwa ameficha mpaka V8 mpya za chama nyumbani kwake.
Achilia mbali uuzwaji wa kifisadi mitambo ya Tanzania printpark na Chanel Ten TV.
Yoote hayo JPM alisamehe.

Huyu Kinana yeye alifikia mahali mpaka akasajili meli na kuitumia kusafirisha meno ya tembo toka nchini kwenda ughaibuni.
Mpaka pale ilipokamatwa na Interpol .
Sauti za yeye kumkashifu marehemu JPM zilivuja mitandaoni,lakini JPM alisamehe.ingekuwa ni huyu mama sijui ingekuwaje?

Yule Bulembo yeye shule za iliyokuwa TAPA, jumuia ya wazazi aliziuza kama mali yake.
Mfano hai kule Musoma kuna kesi iko mahakamani hivi tunavyoongea. Ni sekondari ya Isango.

Sasa hawa leo ndio watetezi wa Mh Samia?

Ushindi mkubwa wa kihistoria kwa CCM ulitokea chini ya uongozi wa hao unaowaita Mapimbi.haijawahi kutokea.

Watanzania tuna laana ya wizi unafiki, na uvivu na hatupendi ukweli na wakweli wake.

Huo ndio uhalisia
....acheni kuishi kwa visasi

2025 sio mbali na hakika CCM na mama yao huyu watawajua Watanzania wa leo.

MUNGU IBARIKI AFRIKA NA UWABANIKE WANAFIKI WA AFRIKA.

TANZANIA IWE NA AMANI mengine yatajinyoosha yenyewe kama ambavyo katiba mpya inaelekea kujileta yenyewe.
Katika watu wajinga nyie mliokuwa mnasifu na kuabudu itawala wa jiwe, mlishindwa kumshauli jiwe kwa maslahi mapana ya taifa kuhusu katiba mpya , zaidi mkajikita kuua upinzani , na mkazani ataishi milele akiongoza nchi , mmesahau kuwa sisi ni binadamu tunazaliwa tunaishi na tunaaga Dunia , katiba mpya ni muhimu.
 
CCM ya huyo mpumbavu wako unayempa promo ndo ile iliyokuwa inazomewa inzi wa kijani pita mtaa wa kongo au makoroboi mwanza na minguo yako ya kijani uzomewe kama vile umetembea uchi, ccm ya pole pole iliheshimika mtaani habari ndo hiyo.
 
Pole sana nadhan ni wakat uanze kuamin mwemdazake kafa maana naona bado huamin ndo team yenu inapewa bye bye hamien upinzani
Wewe fala kweli hauna hoja kabisa ,jamaa kakuelezea facts unajibu simpo eti kuwa haamini kuwa magu kafa, kwani kuna sehemu kakuambia magu hajafa?? Jibu hoja acha utoto,unadhani humu kuna wajinga wenzio wanaozipitia hizi post.
 
Nashangaa watu wanavyomsifu Pole pole but me sion kazi waliyofanya kwenye chama chetu hiki ye na mwemzake

Nape na Kinana waliipambania CCM 2015 kabla ya uchaguzi walizunguka nchi nzima wakipambana na kurudisha uhai wa chama huku wakikagua mirad iliyokuwa kwenye ilan ya chama
Nape na mwenzake walipambana na upinzani ukiwa wa moto

Hawa pimbi wawili Pole pole na Bashiru wamefanya nn zaid ya kuua upinzani kwa mabavu(kwa mamlaka ya kidikteta ya Mwendazake) na kununua wapinzani

Wapi waliimarisha chama au kupambania chama zaid ya kupambana kuua upinzani?
😅😅😅
 
CCM ya huyo mpumbavu wako unayempa promo ndo ile iliyokuwa inazomewa inzi wa kijani pita mtaa wa kongo au makoroboi mwanza na minguo yako ya kijani uzomewe kama vile umetembea uchi, ccm ya pole pole iliheshimika mtaani habari ndo hiyo.
Unaumia ukiwa wapi mkuu?? Mtahama nchi sasa kwa mwendo huu
 
Nashangaa watu wanavyomsifu Pole pole but me sion kazi waliyofanya kwenye chama chetu hiki ye na mwemzake

Nape na Kinana waliipambania CCM 2015 kabla ya uchaguzi walizunguka nchi nzima wakipambana na kurudisha uhai wa chama huku wakikagua mirad iliyokuwa kwenye ilan ya chama
Nape na mwenzake walipambana na upinzani ukiwa wa moto

Hawa pimbi wawili Pole pole na Bashiru wamefanya nn zaid ya kuua upinzani kwa mabavu(kwa mamlaka ya kidikteta ya Mwendazake) na kununua wapinzani

Wapi waliimarisha chama au kupambania chama zaid ya kupambana kuua upinzani?
Hao Wana la kujibu ni suala la Muda tu

Yale mauwaji, utekaji utesaji na kupotezwa watanzania.

Wana la kujibu
 
Wewe fala kweli hauna hoja kabisa ,jamaa kakuelezea facts unajibu simpo eti kuwa haamini kuwa magu kafa, kwani kuna sehemu kakuambia magu hajafa?? Jibu hoja acha utoto,unadhani humu kuna wajinga wenzio wanaozipitia hizi post.

Dah ! Dunia ina vichaa wengi
 
Back
Top Bottom