Hao especially Membe ni wahalifu,nani ataungana nao,labda vibaka,hakuna alie wahi toka ccm akashaini,hayupo,niambie ni nani,mtaje,naona unataka wafe jumlaKila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.
Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.
Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.
Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.
Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.
Baelezee ukweli,hawa wanafiki.Hao ndo wameua Chama kwa taarifa yako. Nyie makuwadi wao ambao mlikuwa mnanufaika na wizi wa Nchi hii.JPM ndio kiboko ya majizi yote iwe CCM serikalini au popote.Magufuli kama maji usipooga utakunywa tu.
Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.
Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.
Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.
Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.
Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.
Bashite wala siyo mwanaccm mkuu, ni wakuja
Baada ya kumpa kichapo jaji warioba wakaina anastahili kupewa cheo,hahah siasa majitaka.Tatizo lenu hamtambui wachapakazi hodari kama Mhe Makonda, kule Hong Kong/ China kwa mwaka mzima sasa hawajanasa wabebaji wa madawa ya kulevya(drug mules) kama kipindi cha awamu iliyopita. Ni dhahiri kuwa nchi chini ya uongozi wa Rais Dr Magufuli na Mkurugenzi Mkuu sianga na Dsm ikiongozwa na Mhe Makonda wameweza kuwabana drug dealers. Ili uone ukweli angalia website ya Hong Kong/China www.v2catholic.com( events by The Right Rev Father John)!Awamu iliyopita kuna viongozi wengine ilibidi wakodeshe mashua (hired speed boats) kwenda kuokoa ndugu waliokuwa wananaswa kwa ubebaji (drug mules) wa madawa ya kulevya. Rais Kikwete aliona Mhe Makonda anafaa ndiyo maana alimteua kuwa Mkuu wa wilaya na Dr Magufuli kurithi tu!
Aliyekwambia Ccm haina mwenyewe ni nani.Kwani Tanu na Asp havikua na waanzilishi.Wewe sema wengi wao wametangulia mbele ya haki na hao wa vyama vingine bado wapo hai kwasababu sio vyama vikongwe.Kila kitu kina mwenyewe.ccm ni chama ambacho hakina mwenyewe tofauti na vyama vingine ambavyo vimeanzishwa kwa kutegemea watu binafsi hao unaowasema ni chama ndio kimewafikisha hapo na chama hicho kikiamua kuwamaliza kinawamaliza ndio maana hawana jeuri ya kutoka na kuanzishaa vyamavyao ni vyema kabla ya kutoa mada kama hizi kafanye utafiti kwanza
Bashite wala siyo mwanaccm mkuu, ni wakuja
Anatafuta kaupenyo ka kuifufua singida unitedMwigulu Nchemba mwezako yupo busy insta kumpamba malaika mkuu
Sasa si ni bora ccm ife? Huwa sielewagi wapinzani kwa nn hamtaki ccm ife!
Anapoteza muda, yuko kwenye pipe ya kupotezwa kisiasa
Hao wakitoka CCM hawana ubavu wa kushindana na udhalimu na uonevu wa serikali. Hata hivyo wapo kimaslahi zaidi kuliko kujali shida za wananchi.
Nna uhakika hawawezi kutoka na hawana ubavu wa kuanzisha Chama.
Hawa hawa akina Zitto, Maalim na Mbowe watatufikisha kwenye demokrasia na utawala wa haki
Yalisikika maneno haya huko kwenye korido flani flani:
"Acha waunde hicho chama chao waone Makaburi yao yatakavyofukuliwa fasta tu Kama ifuatavyo:
Nape:Kujiuzia ma v8 ya CCM kwa bei chee wkt akiwa mwenezi.
Makamba:Kuiba mtihani na kufutiwa matokeo na zile bil. 1 alizochukua huko NSSF na hakurudisha.
Membe:Hela za Ghadafi
Kinana:Meli yake iliyobeba meno ya tembo + uraia.
Mwigulu:Huyu si ndio anaitwaga Lam... Madelu sio?Tutakomaa nae kwenye vyeti vya shule.
Inshort ninafurahi sana wanavyovurugana maana walijifanya wanajua sana kumpigia debe mzee baba mpk mmojawapo akavunjika mkono kwenye hizo harakati.
Mzee baba shikilia hapo hapo
Vipi kuhusu Daud Albert Bashite na kuwa na majina ya ajabu?
Huyo ni mtoto mpendwa na anapenda kuimba wimbo wa 'nina baba yangu asiye shindwa kamweee'
Labda ameahajianda kisaikolojia maana hata juzi amesikika akisema hakuna mtu anayekula bata kama yeye,ingawa sijui kama bata lake linafikia la watoto wa Saddam na Ghadafi lkn leo sijui hata wako wapi.Sipati picha siku babake aking'atuka mjengoni sikuji huyo mdoli atakimbilia wapi
Labda ameahajianda kisaikolojia maana hata juzi amesikika akisema hakuna mtu anayekula bata kama yeye,ingawa sijui kama bata lake linafikia la watoto wa Saddam na Ghadafi lkn leo sijui hata wako wapi.
Kuna tofauti kubwa sana za uendeshaji na muundo wa chama kati ya CCM na vyako mlipuko, vyama mlipuko ni mali ya watu Binafsi, Kuna vuvuli vya watu kwenye uongozi wa chama, Na hata inapotokea ubadilishanaji wa madaraka hakuna ridhaa ya kweli, wenye chama hufanya maamuzi ya nani wanamtaka na sio wanachama.Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.