Nape, Mwigulu, Makamba, Membe na Kinana msikubali kuporwa chama. Kipiganieni, mkishindwa anzisheni chama kipya cha siasa

Hao especially Membe ni wahalifu,nani ataungana nao,labda vibaka,hakuna alie wahi toka ccm akashaini,hayupo,niambie ni nani,mtaje,naona unataka wafe jumla
UMEANDIKA UPUUZI WA HALI YA JUU MNO KIWANGO SGR.
KAMA UNA DEGREE AU MASTERS AU PHD ITAKUWA IPO MATAKO.K.ON.I hivi MWANADIPLOMASIA NGULI NA MBOBEZI KAMA Membe unamwita mhalifu???

Mhalifu katika lipi??? DOLA IPO ,JUDICIAL SYSTEM IPO ,NI LINI IMEWAHI KUMTIA HATIANI??

NARUDIA KAMA UNA MASTERS AU PHDNITAKUWA HAIPO KICHWANI BALI ITAKUWA MATAK.O.N.I KWA.K.O
 
Acha Waisome Namba Nao Enzi Zao Walitesana Huyo Nape Ndio Kabisa Nirimchukia Sana Alipo Tamka Tutashinda Hata Kwa Goli La Mkono
 
Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.

Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.

Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.

Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.

Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.
Issue ni kwamba wanao huo ubavu?
 
Mkuu ulilitambua hilo mapema. Lkn sielewi kama nawe ni miongoni mwa wale Watesi wao na ulitaka kupima upepo kabla hamjawapoteza kisiasa.
 
Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.

Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.

Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.

Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.

Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.
Si washauri wao kuondoka chamani kwani hii hali itapita tuu kitendo hawa ndugu zangu kuondoka ndani ya chama au kuanzisha chama watakuwa wamejimaliza kisiasa kabisa.
 
Ngoja tuone...

Wakianzisha chama kipya cha siasa, hicho kitakua ni chama pinzani... na unajua chama tawala kinajitahidi kuvunja upinzani kabisa...

So itakua ni kazi bure...

Cc: mahondaw
 
Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.

Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.

Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.

Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.

Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.

Wacha wacharurane nyambafu ccm,
Ila nachokiona chama kiko mikononi mwa washamba na wanachotaka kufanya ni kujijengea himaya ya kikabila ili yule mwenyekiti wao ambaye anajijenga ktk misingi ya ukabila aweze kutawala bila kupingwa,
Ila nanyi kina makamba mlishindwaje kuona hilo kwa kudanganywa na JK, kwa manufaa yake kumtukana lowasa, makamba (srnior)unakumbuka ulisema nini juu ya lowasa ukiwa morogoro wakati wa kampeni za kumnadi huyo anaewatafuna!!!!!!ndo ujue Mungu yupo na usidhani ccm ndo baba yako.
Ni zamu yako kutukanwa hadi uwe unajinyea na wewe.
 
Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.

Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.

Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.

Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.

Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.
Wakipiganie aisee kwa nguvu zote ,maana washamba na malimbukeni wanakipora taratibu wakimaliza watupeleke bahima empire ,wasipoangalia shetani anawapeleka jera na kuwapoteza kisiasa .
 
Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.

Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.

Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.

Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.

Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.

Hapo kwenye neno wakuja nimepaelewa sana na najua damu yako imejaa gonjwa baya sana kifupi sana hupaswi kuwa hata Mwenyekiti wa kitongoji no wonder unaweza kukuta unawadhifa mkubwa serikalini au kwenye chama poor my country

I am not a member of any political party just my thinking
 
Yaani Watanzania wasahaulifu sana. Mara hii wameshasahau kejeli za Mwigulu na tambo za Nape. Waacheni wabatizwe kwa moto na wao.
 
Kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa ni bora wabaki huko huko.
Upinzani umebanwa sana,sioni Kinana, Makamba na Nape kama wanaweza kuhimili mikimiki ya kuwa wapinzani.
Zama zimebadilika sana. Kwa sasa hao wote sio relevant kwa siasa za Tanzania.

Hata wakiamua kutoka bado hawana influence tena kuwa kitisho kwa CCM, case study Mrema na Lowassa.
 
Back
Top Bottom