Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.
Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.
Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.
Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.
Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.