Nape, Mwigulu, Makamba, Membe na Kinana msikubali kuporwa chama. Kipiganieni, mkishindwa anzisheni chama kipya cha siasa

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.

Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.

Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.

Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.

Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.
 
ccm ni chama ambacho hakina mwenyewe tofauti na vyama vingine ambavyo vimeanzishwa kwa kutegemea watu binafsi hao unaowasema ni chama ndio kimewafikisha hapo na chama hicho kikiamua kuwamaliza kinawamaliza ndio maana hawana jeuri ya kutoka na kuanzishaa vyamavyao ni vyema kabla ya kutoa mada kama hizi kafanye utafiti kwanza
 
Hao wakitoka CCM hawana ubavu wa kushindana na udhalimu na uonevu wa serikali. Hata hivyo wapo kimaslahi zaidi kuliko kujali shida za wananchi.

Nna uhakika hawawezi kutoka na hawana ubavu wa kuanzisha Chama.

Hawa hawa akina Zitto, Maalim na Mbowe watatufikisha kwenye demokrasia na utawala wa haki
 
Yalisikika maneno haya huko kwenye korido flani flani:

"Acha waunde hicho chama chao waone Makaburi yao yatakavyofukuliwa fasta tu Kama ifuatavyo:

Nape:Kujiuzia ma v8 ya CCM kwa bei chee wkt akiwa mwenezi.

Makamba:Kuiba mtihani na kufutiwa matokeo na zile bil. 1 alizochukua huko NSSF na hakurudisha.

Membe:Hela za Ghadafi

Kinana:Meli yake iliyobeba meno ya tembo + uraia.

Mwigulu:Huyu si ndio anaitwaga Lam... Madelu sio?Tutakomaa nae kwenye vyeti vya shule.

Inshort ninafurahi sana wanavyovurugana maana walijifanya wanajua sana kumpigia debe mzee baba mpk mmojawapo akavunjika mkono kwenye hizo harakati.

Mzee baba shikilia hapo hapo
 
Hawa wameshakatwa mikia kwa kifupi hawawezi tena kufurukuta wala kufanya lolote mbele ya maliyamungu.

Na kuna hatari baadhi yao hata ile nafasi ya kugombea majimboni mwao wataikosa.

Kwakuwa muda ni rafiki wa kweli ngoja tuvute subira kuna siku mtarudi hapa kunishukuru kwamba niliona mbali.
 
Hao ndo wameua Chama kwa taarifa yako. Nyie makuwadi wao ambao mlikuwa mnanufaika na wizi wa Nchi hii.JPM ndio kiboko ya majizi yote iwe CCM serikalini au popote.Magufuli kama maji usipooga utakunywa tu.
 
Kila mtanzania anajua nguvu, ushawishi, weledi na maarifa yenu (Mwigulu, Membe, Nape, Kinana na Makamba) mliotumia ktk kukijenga na kukiimarisha chama cha mapinduzi.

Lkn kuna kila dalili kwamba mliyemkabidhi dhamana kubwa (uenyekiti) hatambui kazi kubwa mliyoifanya na sasa kuna nguvu kubwa ya kuwaondosha na kuwazika kabisa kisiasa.

Siasa ni vita na siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Mkilijua hili mtakipigania chama ili kisiporwe na "wakuja". Lkn mkizubaa hakika mtapotea.

Kama mpambano umewashinda, basi ni vema mkatumia umaarufu, nguvu na maarifa yenu kuanzisha chama kipya haraka iwezekanavyo. Na kwa akili, ushwishi na maarifa mliyonayo, hakika chama kitastawi haraka mnooo.

Ni hayo tu. Narudia tena mkizubaa, mnazikwa kisiasa.
JPM akiwa Mbunge na Naibu (W) mwaka 1995 pia alikuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM (T); Nape, Mwingulu na Januari wote walikuwa sekondari na hawakuwa na hata wajumbe wa Mkutano mkuu CCM (T);
Bernard Membe bila shaka alikuwa Ubalozini Canada.
Ntakubali kuwa Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi enzi za Mwl. na kwa nafasi yake alikuwa sio mtu mdogo kwenye Chama.
Mtu kuwadhania Nape, Mwigulu na Januari ndiyo wenye chama sio sawa.
Kama mtakumbuka kuna wakati, JK alikuwa msaidizi wa Pius Msekwa akiwa Katibu Mtendaji wa kwanza wa CCM 1997 sawa na cheo cha katibu Mkuu kwa sasa.
Hatuwezi kusema JK ana merits nyingi kuliko Msekwa kwa kuwa tu later in life alikuwa Mkiti wa Chama (T).

Kama hao vijana 3, plus Bernard na Col. Kinana walitangulia kuwa wajumbe wa kamati kuu wakati JPM sio mjumbe wa kamati kuu, haiwapi wao credintials za kuonekana CCM ni yao.

Hoja hii pengine uikarabati ulikusudia kuwashauri nini wahusika uliowataja.
 
Back
Top Bottom