Nape, Mwakyembe ujumbe wenu kutoka kwa Kakobe!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,442
Katika hali isiyo ya kawaida Askofu Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship amefunguka na injili kali isiyo kwepesha ukweli kwa kuwataja baadhi ya waimbaji na viongozi wa serikali wana wokovu feki…..wokovu wakuigiza igiza….NANUKU baadhi ya maneno katika mahubiri yake "Leo sikwepeshi…wanaume wanatikisa viuno Rose Muhando,hakuna Mungu humo ndani….watu wanaoenda mbinguni hawako hivyo Rose Muhando rudi msalabani kama hujazaliwa mara ya pili zaliwa leo.Unatikisa viuno…..viuno unaleta kanisani,viuno peleka bar Rose Muhando"

Bishop Kakobe-Nanuku "Kila mtu anajifanya ameokoka lakini huone wokovu hule….Nape naye anasema ameokoka..we Nape umeokoka,umeokoka wewe…una wake wangapi sema,rudi msalabani hapa.Jicheki kwa viwango hivi umeokoka"

Bishop Kakobe-Nanuku "Nape nnauye umekwisha wambia watu umeokoka…waeleze watu…utawaelezaje wakati unachanganya masomo…. matokeo yake tunaleta watu wa ajabu ajabu tunasema wameokoka hakuna kuzaliwa mara ya pili hakuna badiliko tunataka kuleta vitu vya ajabu ajabu"

Bishop Kakobe "Mwakyembe ameokoka,Mwakyembe umeokoka angalia sasa kwa viwango hivi ndio utajua umeokoka au namna gani.Mimi hapa sitafuti mtu waziri ukija hapa Rais ukija hapa utanisaidia nini,Rais huwezi kunipa hela mimi….mimi ndio naweza kumpa hela…sihitaji hela ya mwanasiasa….. "
 
...

"

Dada rosemarie, huyo ni wakusamehe, picha inazungumza kuliko maneno - mtu mwenyewe utafikiri anakula udongo kuna kitu hapo? Halafu mbona hawajifunzi? Hata kwa Komba? Kwa mtindo huu magonjwa nyemelezi tunayaita wenyewe!

View attachment 234617
 
Katika hali isiyo ya kawaida Askofu Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship amefunguka na injili kali isiyo kwepesha ukweli kwa kuwataja baadhi ya waimbaji na viongozi wa serikali wana wokovu feki…..wokovu wakuigiza igiza….NANUKU baadhi ya maneno katika mahubiri yake "Leo sikwepeshi…wanaume wanatikisa viuno Rose Muhando,hakuna Mungu humo ndani….watu wanaoenda mbinguni hawako hivyo Rose Muhando rudi msalabani kama hujazaliwa mara ya pili zaliwa leo.Unatikisa viuno…..viuno unaleta kanisani,viuno peleka bar Rose Muhando"

Bishop Kakobe-Nanuku "Kila mtu anajifanya ameokoka lakini huone wokovu hule….Nape naye anasema ameokoka..we Nape umeokoka,umeokoka wewe…una wake wangapi sema,rudi msalabani hapa.Jicheki kwa viwango hivi umeokoka"
Bishop Kakobe-Nanuku "Nape nnauye umekwisha wambia watu umeokoka…waeleze watu…utawaelezaje wakati unachanganya masomo…. matokeo yake tunaleta watu wa ajabu ajabu tunasema wameokoka hakuna kuzaliwa mara ya pili hakuna badiliko tunataka kuleta vitu vya ajabu ajabu"
Bishop Kakobe "Mwakyembe ameokoka,Mwakyembe umeokoka angalia sasa kwa viwango hivi ndio utajua umeokoka au namna gani.Mimi hapa sitafuti mtu waziri ukija hapa Rais ukija hapa utanisaidia nini,Rais huwezi kunipa hela mimi….mimi ndio naweza kumpa hela…sihitaji hela ya mwanasiasa….. "
Kakobe kachanganyikiwa toka zamani.
Alimpa urais Augustino Mrema siku nyingi, toka mwaka 1995,ati kaambiwa na ka-mungu kake ka pale madhahabuni pake.
Vi mungu hivyo wanavyovitoa Nigeria sasa mnaona madhara yake, anabwabwaja kama amekunywa Safari mbili.
 
Hizi namba za wahubiri wanaojitangaza kibiashara ni hatari
146811562_640.jpg

Z. Kakobe

NABIIMWINGIRA.jpg

A Mwingira

mzeewaupako.jpg

A. Lusekelo a.k.a. Mzee wa Upako

Namba hizi ni hatari kiroho.
 
Katika hali isiyo ya kawaida Askofu Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship amefunguka na injili kali isiyo kwepesha ukweli kwa kuwataja baadhi ya waimbaji na viongozi wa serikali wana wokovu feki…..wokovu wakuigiza igiza….NANUKU baadhi ya maneno katika mahubiri yake "Leo sikwepeshi…wanaume wanatikisa viuno Rose Muhando,hakuna Mungu humo ndani….watu wanaoenda mbinguni hawako hivyo Rose Muhando rudi msalabani kama hujazaliwa mara ya pili zaliwa leo.Unatikisa viuno…..viuno unaleta kanisani,viuno peleka bar Rose Muhando"

Bishop Kakobe-Nanuku "Kila mtu anajifanya ameokoka lakini huone wokovu hule….Nape naye anasema ameokoka..we Nape umeokoka,umeokoka wewe…una wake wangapi sema,rudi msalabani hapa.Jicheki kwa viwango hivi umeokoka"

Bishop Kakobe-Nanuku "Nape nnauye umekwisha wambia watu umeokoka…waeleze watu…utawaelezaje wakati unachanganya masomo…. matokeo yake tunaleta watu wa ajabu ajabu tunasema wameokoka hakuna kuzaliwa mara ya pili hakuna badiliko tunataka kuleta vitu vya ajabu ajabu"

Bishop Kakobe "Mwakyembe ameokoka,Mwakyembe umeokoka angalia sasa kwa viwango hivi ndio utajua umeokoka au namna gani.Mimi hapa sitafuti mtu waziri ukija hapa Rais ukija hapa utanisaidia nini,Rais huwezi kunipa hela mimi….mimi ndio naweza kumpa hela…sihitaji hela ya mwanasiasa….. "
Rosemarie, Bwana Asifiwe!, Baba Askofu alijua utakuja kuripoti humu?!.

Pasco
 
Katika hali isiyo ya kawaida Askofu Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship amefunguka na injili kali isiyo kwepesha ukweli kwa kuwataja baadhi ya waimbaji na viongozi wa serikali wana wokovu feki…..wokovu wakuigiza igiza….NANUKU baadhi ya maneno katika mahubiri yake “Leo sikwepeshi…wanaume wanatikisa viuno Rose Muhando,hakuna Mungu humo ndani….watu wanaoenda mbinguni hawako hivyo Rose Muhando rudi msalabani kama hujazaliwa mara ya pili zaliwa leo.Unatikisa viuno…..viuno unaleta kanisani,viuno peleka bar Rose Muhando”

Bishop Kakobe-Nanuku “Kila mtu anajifanya ameokoka lakini huone wokovu hule….Nape naye anasema ameokoka..we Nape umeokoka,umeokoka wewe…una wake wangapi sema,rudi msalabani hapa.Jicheki kwa viwango hivi umeokoka”

Bishop Kakobe-Nanuku “Nape nnauye umekwisha wambia watu umeokoka…waeleze watu…utawaelezaje wakati unachanganya masomo…. matokeo yake tunaleta watu wa ajabu ajabu tunasema wameokoka hakuna kuzaliwa mara ya pili hakuna badiliko tunataka kuleta vitu vya ajabu ajabu”

Bishop Kakobe “Mwakyembe ameokoka,Mwakyembe umeokoka angalia sasa kwa viwango hivi ndio utajua umeokoka au namna gani.Mimi hapa sitafuti mtu waziri ukija hapa Rais ukija hapa utanisaidia nini,Rais huwezi kunipa hela mimi….mimi ndio naweza kumpa hela…sihita ya mwanasiasa….. “
Hajaishia kwa hao bali kampiga makondom mwigulu na mangula walokole wa doubled standard
 
Mimi hata sijaipata hoja yako hapa!!

Ujumbe mahususi kabisa ni nini hapa? Kayasamea wapi haya Rev. Kakobe? Kanisani au mlikuwa naye chemba sonewhere?
 
Nawatakia watu wote Jumapili njema na baraka watakaohudhuria ibada.
Ndugu,ni vema kushirikisha mema kutoka madhabahuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom