Nape, Mwakyembe ujumbe wenu kutoka kwa Kakobe!

Nape, Mwakyembe ujumbe wenu kutoka kwa Kakobe!

Kakobe naye wokovu wake hauna viwango,tangu aokoke hajawahi kujenga hata chekechea!!pamoja na Nape ana matatizo yasiyo Kifani!!Kakobe ni janga zaidi na anaongoza kwa kuongeza umaskini.
 
Siku za manabii wa uongo kuweni chonjo na ombeni sana Mungu awajulishe iliyo kweli yake
 
Kakobe naye wokovu wake hauna viwango,tangu aokoke hajawahi kujenga hata chekechea!!pamoja na Nape ana matatizo yasiyo Kifani!!Kakobe ni janga zaidi na anaongoza kwa kuongeza umaskini.

Kazi ya msingi ya Makanisa siyo kujenga mashule na mahospitali. Huu ni wajibu wa Serikali kufanya kazi hizi kwa kutumia kodi za wananchi. Yesu alipokuwa duniani, katika huduma yake hakuwahi kujenga hata shule wala hospitali moja, vivyo hivyo Mitume wote Paulo, Petro, Yohana, Yakobo, na wengineo, hakuna aliyejenga shule wala hospitali hata moja! The primary work of the Church is preaching the Gospel. PERIOD!!!!
 
Ask.Kakobe ametajirisha wengi kupitia huduma yake; na waumini wa FGBF wamejenga shule,hospitali na miradi mikubwa nk Tz
 
Nimesikia kwamba, ask.Kakobe mwaka huu ana mikakati ya kuzalisha Mamilionea wengi FGBF; na kati yao,wawe ni wa kimataifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom