Nape: Msimamo dhidi ya ufisadi hautabadilishwa

NAPE naamini kabisa ya kuwa wewe ni kijana wa chama tawala unaekubalika kwa watanzania kwa kiasi kikubwa hilo halina ubishi. NINGEFURAHI SANA kama ungetoa ufafanuzi kwa kile kinachoaminika ya kwamba umenyanyapaa kabila fulani mbele ya waandishi wa habari. SIO SIRI hizi taarifa za kunyanyapa kabila fulani zimetushtusha hata sisi ambao tumekuwa tukikuamini ya kuwa wewe ndio kijana pekee ndani ya CCM mwenye kuweza kuvuta kadamanasi (ORATOR)
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.
 
Bado tunasubiri Komredi!
 
Nape,hizo nyimbo zako waimbie wenzio ndani ya CCM wasiojua tofauti ya melody na ujumbe
 
Kwa maoni yako nani ndani ya ccm anao uwezo wa kumvua gamba Lowassa?
 
  1. Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli
  2. John Samwel Malecela
  3. Philip Mangula
  4. Gavana wa Benki Kuu (BoT), Marehemu, Dk. Daudi Balali
  5. Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge (CCM)
  6. Basil Mramba aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Rombo (CCM) na Waziri
  7. Gray Mgonja aliyekuwa Katibu Mkuu mstaafu, Hazina
  8. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Patrick Rutabanzibwa
  9. Nazir Karamagi aliyewahi kuwa Mbunge
  10. Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM)
  11. Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM)
  12. Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM)
  13. Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
  14. Rais wa Sasa, Jakaya Kikwete
usimsahau kinana mzee wa meno ya tembo...
 
Sasa Nape amebaki mdogo sana si kama alivyokuwa kabla ya Februari 2012 pale Lowassa alipopasua jipu ktk Halmashauri kuu dodoma na leo Mukama, Msekwa na Chiligati ni wastaafu kabaki peke yake ndani ya Secretariat sasa atafanya kazi na Lowassa as long as Lowassa alive
 
Utasubiri sana kamwe haitatokea sana sana yeye hana muda pale..yeye mwenye kasomeshwa kwa pesa ya ufisadi hala anafungua domo lake linalonuka kama shimo la choo eti mafisadi nawapa siku 90 nape wewe ni nani ndani ya ccm wewe ni mbwa mdogo sana kuliko hata sisimizi
Bado tunasubiri Komredi!
 
Aliambiwa apeleke ushahidi akashindwa ikabidi amwangukie mzee wa mamvi domo lake lili mponza anabahati alimwangukia kuokoa ajira yake chezea mafisadi ndani ya ccm kama mzee mzima mwakyembe na sitta wamemyea itakuwa ki-Nape
Sasa Nape amebaki mdogo sana si kama alivyokuwa kabla ya Februari 2012 pale Lowassa alipopasua jipu ktk Halmashauri kuu dodoma na leo Mukama, Msekwa na Chiligati ni wastaafu kabaki peke yake ndani ya Secretariat sasa atafanya kazi na Lowassa as long as Lowassa alive
 
JF bana, haya mkuu wa kanda, unasemaje sasa manake siku tisini tulishazisahau sasa ni mwaka na miezi kadhaa, bado tuendelee kusubiri?

CCM ni full vichekesho. One day mkuu wa kaya alikuwa anahubiri sehemu akasema ifikapo 2014 shule zote za sekondari nchini zitakuwa zimepatiwa teknolojia ya kompyuta ili mwalimu mmoja afundishe madarasa kadhaa at a time. Aliyaongea haya huku anatabasamu
 
Siri kubwa nya muongo ni uwe na kumbukumbu vinginevyo unaumbuka vibaya mno, leo anashugulikia swala la DR Slaa kuwa na kadi ya CCM wakati hili la mwaka jana haja limaliza na ni swala la msingi sana hasa kwa watanzania
huyu jamaa huwa anajiumbua yeye mwenye
 
JF bana, haya mkuu wa kanda, unasemaje sasa manake siku tisini tulishazisahau sasa ni mwaka na miezi kadhaa, bado tuendelee kusubiri?

CCM ni full vichekesho. One day mkuu wa kaya alikuwa anahubiri sehemu akasema ifikapo 2014 shule zote za sekondari nchini zitakuwa zimepatiwa teknolojia ya kompyuta ili mwalimu mmoja afundishe madarasa kadhaa at a time. Aliyaongea haya huku anatabasamu
mwananyamala.jpg
Hili la msingi kabisa wameshindwa itakuwa swala la kompyata mashuleni sahau....bado huja pita mashuleni kuna shule moja hapa Bunju B nilipita juzi nilishangaa kweli ni Dar lakini watoto wana kaa chini na hakuna sakafu halafu wana leta propaganda za kipumbavu eti wataleta kompyuta....
 
Nape! Tunataka mliyoyatekeleza kuanzia ile siku mlivyokuja na falsafa yenu ya kujivua gamba,kubeba mizigo isiyobebeka
tupe physical action mlizo zichukua! Au ndio mlimtoa rostam kafara? "nimeamua kuachana na siasa uchwara"
naomba Nape Nauye ajibu!
Halafu wakati wana jf tukijadili namna gani tutapata mdahalo wa live wa Nape VS Myika au Dr Slaa vs Kinana kuelezea mambo ya msingi na mstakbali wa taifa letu!!
Wadau mnalionaje hili?
Nawakilisha!
 
Haya tuambie NEC haijakaa bado? Mmeshafukuza wangapi?
Je hapo unasimamia ulichikiamini na kukieleza?
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.
 
Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

!!!!
..........
 
Back
Top Bottom