Nape mnauye

inaelekea wewe na huyo nape wote mko sawa....ndo maana wote mnatoa misemo tata...yeye haeleweki na wewe hueleweki pia.

labda ukijielewa mwenyewe utamwelewa na yeye.
 
"NITAYAINUA MACHO YANGU NITAZAME MILIMA, MSAADA WANGU UTATOKA WAPI?"

Nadhani Technician alimaanisha ujumbe hapo juu ambao kama sikosei ni nukuu kutoka maandiko matakatifu.
Unless Technician ulikuwa na maana taofauti hii...
 
Haswaaa....

Nukuu toka Facebook wall ya Mheshimiwa Nape Nnauye.
 
Haswaaa....

Nukuu toka Facebook wall ya Mheshimiwa Nape Nnauye.

the boy is desperate, alidhani kupewa u - DC ndiyo ameula, amejikuta ameanza kupotea katika medani ya siasa? Hivi ukiwa dc huwezi kuresign?
 
Back
Top Bottom