Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Hivi hili gazeti linawasomaji kweli?maana kilasiku naona yanarudishwa kama yalivyokuja hawapati hasara?
 
Kadri mnavyoijadili UKAWA na LOWASSA ndivyo inavyoonesha dhahiri jinsi mlivyo ikubali!!Mapambano yanaendelea,Ushindi unakuja!
 
Ni Kama Nape anasema," Bahati yenu Chadema! Mmeshinda kwa sababu ya Lowasa. Mngekuwa hamkumkaribisha tungewaonyesha cha mtema kuni. Lakini basi, tutakutana kwenye uchaguzi wa 2020."
wacha kuota ndoto za mchana ukiwa umefumbua macho.
 
Mmekata tamaa poleni,kwa nn liandike gazeti la Uhuru na c lingine?ccm kwisha kwisha kabisa,kifo cha mende chaliii.
 
Uboya na urofa ninin?
Uboya na urofa n kulinda kura nje wakati kura znaesabiwa ndani

Lowasa out!!!!!!
 
nimekuwa kimya kwa muda ningeuliza wakat wa kampeni ingeonekana navuruga upepo, sasa naongea haya uchaguz ukiwa umemalizika, tunaomba kupewa taratibu zilizotumika katika ubinafsishaj wa chadema kwa lowassa,
 
misukule ya ufipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…