Baba Cleopatra
Member
- Oct 6, 2015
- 24
- 7
Kumbe uhuru
wacha kuota ndoto za mchana ukiwa umefumbua macho.Ni Kama Nape anasema," Bahati yenu Chadema! Mmeshinda kwa sababu ya Lowasa. Mngekuwa hamkumkaribisha tungewaonyesha cha mtema kuni. Lakini basi, tutakutana kwenye uchaguzi wa 2020."
View attachment 299036Ikulu sio pango la walanguzi
misukule ya ufipaMBOWE NI KIBOKO:
Yaan licha ya kusemekana Bw.Mbowe alivuta mshiko yeye na mzee mtei kama bilioni 10 hivi kwa kumuingiza lowasa ndani ya chama,haikutosha jamaa akaamua tena kupitisha michango kwa wananchi kwa gea ya harambee!Kwa sasa katulia tuliii na fuba lake anawaacha jamaa wanahangaika,Namvulia kofia!salute kaka,wajinga waliwao kweli
Na anatetewa kitafuna ruzukuJamaa ni noma sana aisee,kawafanya jamaa wa ukawa kama misukule vilee,anajilia tu kiulainiiiii