Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Wote hao wamechapa kazi kadiri ya uwezo wao na sera za chama chaoNape katibu mwenezi umefanya kazi gani?
Lusinde matusi yako yamesadia?
Mkapa sina cha kusema
Hii ni ishara mbaya kwa chama hakuna msaada wowote mliotusadia
chama kimehujumiwa Arumeru haiwezekani jimbo litoke ccm
lirudi upinzani.
Nape katibu mwenezi umefanya kazi gani?
Lusinde matusi yako yamesadia?
Mkapa sina cha kusema
Mwenyekit wa chama huu ni muda mwafaka wa kuwawajibisha watendaji wako katika chama
Kama kweli chadema itashinda arumeru nitaamini kwa dhati kuwa mgawanyiko au mpasuko ndani ya ccm ni mkubwa na very serious kuliko tunadhani au unavyosemwa
Eti
Nape atasema nilitabiri kushindwa arumeru kisa pesa ilitumika kutafuta
mgombea.
Yeye hawezi kukiri kuwa cdm ni level zingine kabisa. Pale hakuna ambaye
angeshinda kama ilivyo kwa Nape akigombea cheo kwa kura hushindwa. 2010
wananchi wa ubungo walimpa kura kiduchu sana. Kuongezeka kwa EL ndio
kuliipa ahueni ccm la sivyo wangekauka kama mti mkavu
uSIMSAHAU wASSIRA NA huyu rafiki yangu wa Simanjiro!...pia wameshiriki vizuri sana katika hizi episodes!
Mkuu, siyo suala la mgawanyiko, ukweli ni kwamba chama chenyewe kimeishiwa - Yakima jipya, na 'think tank' yake haina lolote. We uliona wapi chama badala ya kumwaga sera kinamwaga matusi? Hiyo ni dalili tosha kwamba hicho chama kimeishiwa.
Kama kweli chadema itashinda arumeru nitaamini kwa dhati kuwa mgawanyiko au mpasuko ndani ya ccm ni mkubwa na very serious kuliko tunadhani au unavyosemwa