Huu mchezo wa kuogopana huu, siku zina kwenda hakuna utekelezaji, chama kinapoteza imani siku hadi siku. Mwenyekiti aalea makundi chama kinakufa hivihivi anaona kwa macho!
DHAIFU KWELI NI DHAIFU!!!
Kada maarufu wa CCM ndugu Nape Nnauye ameeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitahada ili kuhakikisha kuwa chama hicho kinasambaratika.
Nape alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitagidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
Source: Gazeti la Nipashe ukurasa wa tatu
Ataje nini wakati wamesha sambaratika

Hiyo orodha mwigulu ndani!!!!!
Au hajamtaja?
Hii tabia ya kutishia kutaja majina haya na yale inabidi sasa viongozi wa CCM waiache mara moja kama kweli wana nia ya kuzidi kutupa imani sisi wanachama wa CCM mitaani. Siasa za CCM zinaanza kuwa za kitoto sasa. Kama vikao vya ndani vinashindwa kutatua migogoro hiyo, msituletee wanachama migogoro yenu kwani sisi tunawachukulia nyinyi kama viongozi wa kutupeleka the promised land. Kama mmeshindwa kupata suluhisho kupitia taratibu husika, media haitawasaidia bali mtazidi kuweka bayana kwamba uongozi umewashinda. kama imefikia hali hiyo, pisheni wengine wenye uwezo watuongoze, wapo wengi tu.
Atakujibu kuwa walimnukuu vibaya,yeye alikuwa anamaanisha miezi 90 (ambayo ni sawa na miaka saba na miezi mitano).Siku 90 bado?