Mwigulu Savimbi amemtega, akitangaza nia tu, wanatoa ile video ambayo Festo Sanga alimrekodi akiwa anakula uroda na mke wa mtu guest house. Hiyo ndio silaha ya maangamizi ya TEAM SAVIMBI dhidi ya Nape, na yeye analijua hili kamwe hatathubutu kugombea uraisi. Ndio maana ameamua kuacha ndoa yake na kuzunguka nchi nzima na Jangili Kinana ajikusanyie tuposho twa kutosha asife na njaa kuanzia mwakani
Ni haki yake kikatiba hebu pata picha huku Nape kule Kigwangala huko Ngeleja na huku January! Nani bado?
Bado genius Mr. know it all the jack of all trades Zitto Kabwe.Ni haki yake kikatiba hebu pata picha huku Nape kule Kigwangala huko Ngeleja na huku January! Nani bado?
Hawezi kupata sunami kwani hatambuliki kwenye Familia ya Moses Nnauye.Nape pengine achaguliwe na familia yake. Ubungo ilimshinda ni urais. Namshauri akagombee kwenye familia yao atapata kura za sunami.
Sijawahi kumwona wala kumsikia Nepi akiongea ki inglishi au macho yangu tu
Kwa hiyo huyu bwana hamjui baba yake. Acha utani basi.Hawezi kupata sunami kwani hatambuliki kwenye Familia ya Moses Nnauye.
Nape pengine achaguliwe na familia yake. Ubungo ilimshinda ni urais. Namshauri akagombee kwenye familia yao atapata kura za sunami.